D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,633
- 121,022
Anaweza akaja mana Sosha alisema ye hawezi kuzungumzia wachezaji wa team nyingine hii pia ilikuwa hata tulivyomtaka Bruno alikanusha kama hiviHuu ndio usajili ambao timu yetu inatakiwa kuufanya chap
Kwahy sisi tunampiga 8Ila kwa mpira alioupiga Aston villa, ni halali Liverpool apigwe saba.
Au nasema uongo ndugu zangu?
Hilo jaketi orijino vioi laweza patikana kwa namna gani na sh ngapiSosha kashamalizana nae uzuri na yeye anmuelewa sana Jack.Hii ni baada ya gameView attachment 1665154
Sent from my SM-J400F using JamiiForums mobile app
Bruno anahitaj mapumziko ile sub ni nzur sana kiafyaRashford nimemmaindi leo.
Kingine kocha aache sub ya bruno asee mechi ikiwa imelemewa alafu unaacha chizi rashford ndani.
Anyway nimefurahi sana. Wikienda itakuwa mrua sasa.
Majiran siwaoni. Akina painkiller na group lake la wakosoajiHuu uzi sasahivi ni kama kituo cha polisi hawawezi kukaa kwa amani, sasa tujadili mechi yetu wazee au mnasemaje..
Haikuwa sawa japo nadhani wanaenda kwa statistics.Wamempa Bruno. Nimeangalia mpaka akihojiwa
Tatizo ni upangaji kikosi tu,,,akiweka kikosi kizuri na sub za kueleweka hata huyo ole atatubebesha ndoo msimu huu..2020/2021.Man U tungekuwa na kocha mzuri tungechukua ubingwa msimu huu!
Hahhaa bailly hawez kucheza mech 5 bila kwenda hospital labda kwa sasa mkuu ila akiwa fit ni shida
Sitaki tukamie hii game, tukitoka powa tuuCity sijui tutamtoa EFL?..
Anyway..Uwezo upo,ni kuwa Clinical kule mbele.
Tatizo la man u sasa ni defender wa kati world class na winger wa kulia.Bila mtu kama benteke pale mbele ubingwa kwetu ni vigumu.
Tukishindwa kabisa hii January tumchukue japo Islam Slimani pale leiceter and Andy Carol.
Huyu Grealish kila walichofanya Villa yeye ndio bwana mipango.Kuna mtu nilimwambia humu huyu jack ni mtu na nusu akasema wa nini yule ni hatar sana mpira wenyewe kumpora ni shughuli
Rashford sio uchoyo tu hata ujinga anao.Rashford papara nyingi na uchoyo mwingi..
McFred second half wamepotea aisee..inaeleweka lakini.
Akiacha ujinga ni mchezaji mzr sn.Rashford sio uchoyo tu hata ujinga anao.
Ile save ya Kichwa inaweza kupindisha kizazi..De Gea nae ameamka usingizini kidogo sio haba..