Sana. Ananikera sanaRashford ni mbinafsi sana.
HayakuhusuPogba booonge la mchezaji, nasikia mnataka kuwapa Juve!
Tumekosa nafasi za wazi sana.Kwa pressure tuliwapiga ilikuwa tupate la 3 dah
Ushindi mbele ya Referee MICHAEL OLIVER ni mgumu sana. Maana huyu jamaa haipendi Man U kabisaTumekosa nafasi za wazi sana.