Ngongo
Platinum Member
- Sep 20, 2008
- 21,179
- 37,475
Sababu ya majira ya baridi
Hili gonjwa la ajabu sana,Kenya wanakimbizwa mchaka mchaka Tanzania full burudani 🏃🏿
Sababu ya majira ya baridi
League isimame
Au ifutiliwe mbali
Nasema uongo ndugu zangu
Wewe kama nani?League isimame
Au ifutiliwe mbali
Nasema uongo ndugu zangu
Epl manager agreementWewe kama nani?
Newcastle 0 - 0 Liverpool (FT)Liverpool bado kashikwa papaya
Newcastle 0-0 Liverpool (HT)
Kesho si Ijumaa?
Kesho jumamosi boss ni tar 1 January 2021Kesho si Ijumaa?
Ww kiazi kaa kimya huna ujualoLeague isimame
Au ifutiliwe mbali
Nasema uongo ndugu zangu


Kesho ni Ijumaa
Mtu ka draw huko...We have to win vs aston villa
Mtu mwenyewe uko bongo . Sidhan hata waingereza wanakufaham. Yaan uongoz wa epl hauna time na ww. Hawajui kama upo.Epl manager agreement