League isimame
Au ifutiliwe mbali
Nasema uongo ndugu zangu
My Starting XI vs Aston Villa kesho
=======
De Gea
AWB Bailly Maguire Telles
Fred McTominay
Rashford Fernandes Martial
Cavani
======
Vijana wakiweka 100% commitment+ umakini na hii game 3points ni mapema tu
======
We can't afford losing this one..hatuwezi kabisa aisee kulipokea hili.
El ghazi,Grealish na Watkins ni wakuwaangalia sana..najua AWB atamalizana na Grealish huku Bailly akimuweka mfukoni Watkins
Tulia weweVilla anakuja
Narudia tena
Nyie Man utd na magoli yenu ya kubabatiza hamna uwezo wa kumfunga aston Villa
Matokeo yenu ni draw tu
na kweli wamekufaHahaha, wale wanakufa mapema sana.
Kosa halitajirudia.
Mkuu shaw awepo hapo kwa tellesMy Starting XI vs Aston Villa kesho
=======
De Gea
AWB Bailly Maguire Telles
Fred McTominay
Rashford Fernandes Martial
Cavani
======
Vijana wakiweka 100% commitment+ umakini na hii game 3points ni mapema tu
======
We can't afford losing this one..hatuwezi kabisa aisee kulipokea hili.
El ghazi,Grealish na Watkins ni wakuwaangalia sana..najua AWB atamalizana na Grealish huku Bailly akimuweka mfukoni Watkins
Alianza na wolves mkuu hiz mech za pressureHz mechi za pressure huwa zinamshinda sn Ole.
Shaw na Telles yeyote akianza mchango wake ni mzuri na tukiu-weigh ni kama unalingana na wa mwingine IMOMkuu shaw awepo hapo kwa telles
Shaw ni hatar sana hasa offensive,Alipoingia ile game ya juzi wadau waliponda ila alivuruga sanaMkuu shaw awepo hapo kwa telles
Mkuu shaw awepo hapo kwa telles
Acha uongo
Kwa kikosi hichapo hatufungwi na mahakama yoyote.


hata Kisutu Rivenyuu Asoriti?Rotation inawafanya wachezaji wote wawe na match fitness na wasichoke na kuumia tukaanza kumpigia kelele Ole.Tunafanya vema sana away kuliko home ground. Ninachohofia Ole namna anavyofanya rotation
Huko kulia hawez anza greenwood mkuu ?Shaw ni hatar sana hasa offensive,Alipoingia ile game ya juzi wadau waliponda ila alivuruga sana
Me nadhani Rashford anamudu zaidi kutokea kushoto kuliko kulia ndo maana kocha hapendagi kumuweka kule