natumia PC
tumia browser inayoblock matangazo, kwa simu brave
Hakikisha una ad blocker ili usisumbuliwe na matangazonatumia PC
ahsante sana brotherHakikisha una ad blocker ili usisumbuliwe na matangazo
Martial na Rashford ni wachezaji wenye vipaji ukubwa. Ila wamekosa msukumo wa ndani. Hawapaswi kuwa first 11, wanapaswa kutafuta namba hilo lingewafanya wachemshe bongo. Sasa hivi wanabossProject ya martial na rashford naona kama inafeli tuwape muda
Ndivyo ilivyo kwa Man U.Inakera sana tunaposhindwa kutake advantage wapinzani wakidondosha point na sisi tunazingua