Ulikuwa umepotea kabisaRashfoooooooooord
Rashford anakusalimia.Neto anatoka bila goli!
Mna bahati sana.
Ile game na Leicester ilikuwa muhimu sana sasa tungekuwa sawa na Livakuku2nd placedView attachment 1662523
Na akili yake ndogo ndio amekupa ushindi.Ila rashford akili ya mpira ndogo sana
Usiumie sana mkuu, huo ndio mpira.Ni swala la muda kabla hatujaweka matanga hapa



Nilisema mapem kabisaTunashinda hii game