SaaMbovu
JF-Expert Member
- Oct 8, 2013
- 6,028
- 5,355
Siku ambayo Man U anatakiwa akae pazuri ndio anazingua.Matic yuko poa tu, shida hapo kwa Pogba, huwa ana mood, kuna siku anashindwa kabisa. Lakini ingekuwa mmoja hapo atoke awepo Fred au Tominay ingekuwa moto sana.
Kwa Pogba na Matic hapo tumeliwa