Hawa walitabiri suluhu lakini sikuwaamini na bado siwaaminiView attachment 1659605
Ole anapaswa kuondoka man u ,,ni kama mechi ya Leo hakuuchukulia serious.Pogba mzinguaji tu pia ni ngumu kuchukua epl trophy kwa kuwategemea rashford na martial kama strikers
Wamenufaika na bad team selection kwa hiyo pengine walilijua hilo hivyo wanaaminikaKwahiyo mpaka sasa bado huwaamini? [emoji23]
Sijui kapewa nini na martial ? Yaani sub ya wazi kabisa anachelewa kumtoaOle anapaswa kuondoka man u ,,ni kama mechi ya Leo hakuuchukulia serious.
Ni watu wachache wanaliona hili Ole atatuchelewesha sana. Naamini kuna siku kila mtu atakubaliana na uhalisia.Ole anapaswa kuondoka man u ,,ni kama mechi ya Leo hakuuchukulia serious.
Wacha weeeManutd wins 3 nil + O2.5, no BTTS, Manutd wins both halves Jamie Vardy will have no say, not a single shot on target, no more than 7.5 corners for either side, no penalties, no red cards, Fernandes to score at any time, Away team to dominate possession
Hahaha mkuu ulijiamini sanaManutd wins 3 nil + O2.5, no BTTS, Manutd wins both halves Jamie Vardy will have no say, not a single shot on target, no more than 7.5 corners for either side, no penalties, no red cards, Fernandes to score at any time, Away team to dominate possession
Kocha gani anafaa kuwa replacement ya Ole pale United ?Ni watu wachache wanaliona hili Ole atatuchelewesha sana. Naamini kuna siku kila mtu atakubaliana na uhalisia.
Kazi apewe nani ?Ole anapaswa kuondoka man u ,,ni kama mechi ya Leo hakuuchukulia serious.
Wakuu tutoe droo na pesa tuache kupiga.[emoji3]Ni Kama nilijua nikabet si haba.[emoji3][emoji3]View attachment 1659643
Martial anao uwezo wa kumiliki mipira na pia anao mguu wa striker tatizo dogo mvivuOle akitaka kutwaa EPL Centre forward awe ni Cavani hawa dogo kama Martial hana mchango kama centre forward timing yake mbaya na hizi offside na hawezi kumiliki mpira
Acha mawazo. Ya kingesengeseKingese ngese shangaa tunachukua ubingwa 😁
Sasa berbatov si nyumbu tu anaombea arsenal ashinde ili muwepo nafasi nzuriBerbetov awatabiria makubwa Arsenal
Wewe angalau umegusa kosa la goli la pili lilioanzia. Chanzo cha goli lile ni Pogba.Pogba mzinguaji tu pia ni ngumu kuchukua epl trophy kwa kuwategemea rashford na martial kama strikers