Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Gary Neville kaanza kumkubali OGS
IMG_20201225_212013_751.jpg
 
Leo naleta stori namna nilivoanza kua shabiki wa hili chama.. nakumbuka mwaka 1999 nikiwa darasa la tatu tulikua tunapenda Sana mpira tukawa na katimu ketu ka mtaani pale na tuna uwanja wetu hapo hapo Sasa Kuna bro mmoja alikua mtu mzima fulani alikuja akatuletea mpira wa gozi baada ya kuona juhudi zetu za kupenda soka Basi Kuna siku akaja akasema Leo nawapa majina mengine mtakua mnayatumia Kama yenu mkiwa uwanjani Basi jamaa kila mtu akampa jina kulingana na uwezo wake uwanjani wakati huo sisi wadogo hatujui mambo ya mpira wa ulaya jamaa akatupa majina ya wale wachezaji wa kikosi Cha man utd kuanzia golikipa Mimi nikawa naitwa bechham alijuepo gigs silivester sosha yaan tulikua full Basi ndio tukawa tunajiita hvo uwanjani hata kuomba kupasiana pasi muda ukaenda mshua akasikia naitwa beckham akasema unamjua huyo Beckham nikasema simjui Ila Kuna bro fulani katupa majina kila mtu lake akacheka saaana akasema siku nitakupeleka ukaone hao wenye hao majina wanavokipiga ebwanaa eeeh nakumbuka ilikua mechi dhidi ya Newcastle man alikiwasha balaa yaan balaaa nikawaona wale wote jamaa aliotupa majina nilifurahi mnoo nikaja wambia Wana mtaani aisee majina aliotupa hawa jamaa wanachezea timu inaitwa Manchester United wanapiga mpira acha kabisa jamaa walifurahi mno na majina yakakolea zaidi tukaanza kujiita kabisa Manchester kids mpaka leo nikikutana na wale rafiki zangu wote tuko man utd na still tunaitanaga yale majina yetu hahahahaa,, Kama vipi na wew mdau share kidogo namna ulivojiunga na chama , GGMU
 
nimeikuta mtandao wa reddit... subreddit reddevils.
munisamehe kwa kushindwa kuipeleka kwenye lugha ya kiswahili
=========
Overview of Moises Caicedo (From an Ecuadorian who has watched him for a while)
Hey all, it seems like the diamond of Ecuador is joining the Red Devils so I thought I’d give an overview of him, being that I’m a fan of the club he’s currently at and have watched him for a while.

Caicedo’s original position is lone DM, this is what he has played since his academy days. Independiente Del Valle (his current club) always plays a 4-3-3 and he was the Sergio Busquets of the team.

Starting in March, he moved from the u20s to the senior team at our club. Here, he’s played as box to box in most games (which is why you see him pushing up a lot in his highlight vids). He has also played in his original lone DM position, and he has even played CB a few games. He’s shined in all these positions.

Needless to say he is extremely versatile. He has great long passes,great tackling, a good shot from long distance. If United want him to sit back in the midfield while Pogba and Fernandes go up, he will do that. If Pogba leaves and United want him to replace him and go forward, he will shine. If all of United's Cbs catch covid (God forbid) and they need a CB, he will step up. However, what makes him great is his decision making, vision and composure. His game is based around football iq, not physics stats. This is why I believe he will adapt anywhere he goes and is something you can’t really see in a highlight video. He is a conductor leading his orchestra.

Now in regards to what role he will have at United: In my opinion, it doesn’t make sense to put him in the U23 squad. Caicedo won everything at the u20 level (league title, Copa Libertadores), he is now a full international for the Ecuador national team that has dominated World Cup qualifying so far. And Moises Caicedo is among the most important players in the squad. In 4 games, he has 1 goal and 3 assists against the likes of Uruguay and Colombia whom he stole the show against. This is the Uruguay who has Betancur and Valverde in the midfield, and a Colombia with James Rodriguez and Cuadrado. He DEBUTED for the national team against a Messi lead Argentina (AT ARGENTINA) and shined in the second half. The kid is ready for prime time. This is not Pellistri who has only played in his local league, or Diallo who has 40 minutes of Senior football (both are still talented players, but Moises is more developed).

I think he should play all cup/ Europa league games and should definitely be getting PL minutes.

Hopefully that answers some questions that people have on Caicedo. I’m happy that he’s going to United, though not too happy about the price tag haha. I thought we’d get double that amount to be honest.
 
Mlifanikiwa kucheza soka la kulipwa au ndiyo Bongo Bahati Mbaya?
 
Subili leo vardy awaweke ukuni Kwanza harafu urudi kuongea tena
Manutd wins 3 nil + O2.5, no BTTS, Manutd wins both halves Jamie Vardy will have no say, not a single shot on target, no more than 7.5 corners for either side, no penalties, no red cards, Fernandes to score at any time, Away team to dominate possession
 
Matchday..

Leicester najua wakataa nyuma na kutuotea on counters..Ole be brave,na wachezaji inabidi waweke shift ya maana kabisa..Point tatu za leo ni muhimu sana sana.

GGMU
Ngoja tusubiri line up
 
nimeikuta mtandao wa reddit... subreddit reddevils.
munisamehe kwa kushindwa kuipeleka kwenye lugha ya kiswahili
=========
Overview of Moises Caicedo (From an Ecuadorian who has watched him for a while)
Hey all, it seems like the diamond of Ecuador is joining the Red Devils so I thought I’d give an overview of him, being that I’m a fan of the club he’s currently at and have watched him for a while.

Caicedo’s original position is lone DM, this is what he has played since his academy days. Independiente Del Valle (his current club) always plays a 4-3-3 and he was the Sergio Busquets of the team.

Starting in March, he moved from the u20s to the senior team at our club. Here, he’s played as box to box in most games (which is why you see him pushing up a lot in his highlight vids). He has also played in his original lone DM position, and he has even played CB a few games. He’s shined in all these positions.

Needless to say he is extremely versatile. He has great long passes,great tackling, a good shot from long distance. If United want him to sit back in the midfield while Pogba and Fernandes go up, he will do that. If Pogba leaves and United want him to replace him and go forward, he will shine. If all of United's Cbs catch covid (God forbid) and they need a CB, he will step up. However, what makes him great is his decision making, vision and composure. His game is based around football iq, not physics stats. This is why I believe he will adapt anywhere he goes and is something you can’t really see in a highlight video. He is a conductor leading his orchestra.

Now in regards to what role he will have at United: In my opinion, it doesn’t make sense to put him in the U23 squad. Caicedo won everything at the u20 level (league title, Copa Libertadores), he is now a full international for the Ecuador national team that has dominated World Cup qualifying so far. And Moises Caicedo is among the most important players in the squad. In 4 games, he has 1 goal and 3 assists against the likes of Uruguay and Colombia whom he stole the show against. This is the Uruguay who has Betancur and Valverde in the midfield, and a Colombia with James Rodriguez and Cuadrado. He DEBUTED for the national team against a Messi lead Argentina (AT ARGENTINA) and shined in the second half. The kid is ready for prime time. This is not Pellistri who has only played in his local league, or Diallo who has 40 minutes of Senior football (both are still talented players, but Moises is more developed).

I think he should play all cup/ Europa league games and should definitely be getting PL minutes.

Hopefully that answers some questions that people have on Caicedo. I’m happy that he’s going to United, though not too happy about the price tag haha. I thought we’d get double that amount to be honest.
Real deal aisee..

Anapiga long run pass kama hana akili nzuri.
 
Back
Top Bottom