EZZ CHEZZ
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 1,230
- 1,356
Hapana bro, ndiyo top targets zetu kwa sasa.
Hapana bro, ndiyo top targets zetu kwa sasa.
Marry ChristmasMarry Christmass United Fans
thomas tuchel amefukuzwa kazi mitaa ya Paris
Nakubaliana na wewe, Lindelof ana offer vitu vingi sana kushinda Baily kwa current situation, ila nakubaliana na mdau hapo juu kaka Baily asingekuwa injury prone naamini angekuwa Bora zaidi ya Lindelof.Lindelof does better kwenye mechi zenye pressure kubwa than Harry Maguire or Bailly.
Eric anafanya tackles nyingi kwa sababu mara nyingi huwa anakuwa off position anaamini katika mbio zake.
Eric's playing style is dangerous to himself and fellow players ndiyo maana always yuko injured.
Mapungufu ya Lindelof ni kwenye one against one hasa with bull strikers kitu ambacho ni mara chache sana huwa anakiruhusu kitokee, mapungufu mengine ni aerial balls japokuwa ameimprove sana this season.
Tumecheza na PSG two games Lindelof akiwa ndiyo defender wa Mwisho mechi zote hizo tulishinda na PSG alifunga goli moja kila mechi.
Unataka defender kiongozi je Bodi ya United iko tayari kutoa pound 70+ kupata defender wa kiwango hicho ?
Sasa kama Lindelof ana offer vitu vingi kushinda Bailly kwani Bailly huwa anacheza akiwa mgonjwa ?Nakubaliana na wewe, Lindelof ana offer vitu vingi sana kushinda Baily kwa current situation, ila nakubaliana na mdau hapo juu kaka Baily asingekuwa injury prone naamini angekuwa Bora zaidi ya Lindelof.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Overrated managerWashika manati atawafaa huyu.
Hahahhahaha, hapana mkuu, sina maana hiyo, just nimespeculate kama Baily angekuwa anacheza often. Match fitness na confidence ndivyo ambavyo analack jamaa.Sasa kama Lindelof ana offer vitu vingi kushinda Bailly kwani Bailly huwa anacheza akiwa mgonjwa ?
Mkuu mbona Arsenal nayo ni Overrated Championship club.Overrated manager




Rodgers akikutana na timu kubwa upenda kupaki bus kucheza conter attack, ni heri tucheze na viungo hawa, Fred + Pogba + FernandesOn boxing day tuna kazi pevu ya kufanya..Tukiondoka na 3 points in fashion basi kila mmoja ataanza kutuogopa rasmi na itatupa confidence ya kuwa na run nzuri ya kuwin games
=============
My Starting XI vs Leicester kesho
De Gea
AWB Lindelof Maguire Shaw
McTominay Fred
Greenwood Fernandes Rashford
Martial
==========
✓SUBS za kubadilisha game😛ogba,Cavani,Telles
✓If McSouce is not fit basi Labile aanze.
✓Ole up your game bana..kikosi kizuri cha kumfunga yeyote kipo..Our defenceline has looked shaky at some points,but we can improve.
Marry Chrismas mkuuMarry Christmass United Fans
Hata Lindelof alisajiliwa na Jose Mourinho kwahiyo ukitumia kigezo chako cha selection za Mourinho basi Lindelof pia ni bora.Hahahhahaha, hapana mkuu, sina maana hiyo, just nimespeculate kama Baily angekuwa anacheza often. Match fitness na confidence ndivyo ambavyo analack jamaa.
Baily ni beki aliyeletwa na Mourinho. And I always respect his selection.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Hahaha kwa level ya Arsenal anaweza kuwafaa.Mkuu mbona Arsenal nayo ni Overrated Championship club.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Louis van Gaal ndio alimtaka Lindelof na mambo yote yalikamilika wakati wake, ila alitambulishwa mapema baada ya Mourinho kutangazwa. So sidhani kama lilikuwa ingizo la Mourinho.Hata Lindelof alisajiliwa na Jose Mourinho kwahiyo ukitumia kigezo chako cha selection za Mourinho basi Lindelof pia ni bora.
Lindelof alisajiliwa Mourinho akiwa kesha kaa hapo msimu mzima. Hiyo ni baada ya Eric Bailly kuanza majeruhi. Alikuwa ni choice ya Mourinho (kocha bora zaidi aliye kazini). Bailly pia alisajiliwa na Mourinho mara tu baada ya kupata kazi 2016.Louis van Gaal ndio alimtaka Lindelof na mambo yote yalikamilika wakati wake, ila alitambulishwa mapema baada ya Mourinho kutangazwa. So sidhani kama lilikuwa ingizo la Mourinho.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Facts zako haziko sawa mkuu.Louis van Gaal ndio alimtaka Lindelof na mambo yote yalikamilika wakati wake, ila alitambulishwa mapema baada ya Mourinho kutangazwa. So sidhani kama lilikuwa ingizo la Mourinho.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
Mkuu mbona Arsenal nayo ni Overrated Championship club.
Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app



