Eric ana fighting spirit as a central defender. Ni kweli ana mapungufu yake ila kuna utofauti mkubwa sana kati yake na Victor, ambaye kwangu mimi namuona kama yupo soft sana na akiwa exposed under pressure anapitika kirahisi sana.
Kitu pekee kinachoni-disappoint kwa Eric, he's susceptible to injuries. Ni ngumu to grow to be the best hasa hasa anabaki pale pale. Binafsi, ningependa sana dirisha dogo usajili wetu mkuu uwe mlinzi wa kati ambaye anapaswa aje kuwa kiongozi pale nyuma ni mahala pekee penye upungufu mkubwa sana.
Nimeangalia mechi karibu tano kwa umakini mkubwa sana kuna makosa Harry anayafanya kila mechi anarudisha mpira kwa kipa akiwa mita chache sana karibu na goli na hata jana alifanya ujinga tena wa kumpa kipa mpira akiwa karibu nae kabisa, mechi dhidi ya Sheffield United ilitugharimu ukiwa unalenga kutafuta kombe kuna makosa hayapaswi kuchekewa. Nyuma hakuna kiongozi pale.