Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,300
- 46,749
34mn from the official lineup against leeds..Ngoja tusubiri line up
GGMU
34mn from the official lineup against leeds..Ngoja tusubiri line up
Andika kiingereza basi, ole hajui Kiswahili au unamaanisha Ole Sabaaya?Matchday..
Leicester najua wakataa nyuma na kutuotea on counters..Ole be brave,na wachezaji inabidi waweke shift ya maana kabisa..Point tatu za leo ni muhimu sana sana.
GGMU
Me nilinunuliwa mfuko kuwekea madaftari(beg tuseme) wa man utd wakati niko primary darasa la kwanza ndo ukawa mwanzo wa kuwa die hard man utd fan ingawaje kuna kipind niliwakataa man utd kama mashabiki wa aseno sahvi....Leo naleta stori namna nilivoanza kua shabiki wa hili chama.. nakumbuka mwaka 1999 nikiwa darasa la tatu tulikua tunapenda Sana mpira tukawa na katimu ketu ka mtaani pale na tuna uwanja wetu hapo hapo Sasa Kuna bro mmoja alikua mtu mzima fulani alikuja akatuletea mpira wa gozi baada ya kuona juhudi zetu za kupenda soka Basi Kuna siku akaja akasema Leo nawapa majina mengine mtakua mnayatumia Kama yenu mkiwa uwanjani Basi jamaa kila mtu akampa jina kulingana na uwezo wake uwanjani wakati huo sisi wadogo hatujui mambo ya mpira wa ulaya jamaa akatupa majina ya wale wachezaji wa kikosi Cha man utd kuanzia golikipa Mimi nikawa naitwa bechham alijuepo gigs silivester sosha yaan tulikua full Basi ndio tukawa tunajiita hvo uwanjani hata kuomba kupasiana pasi muda ukaenda mshua akasikia naitwa beckham akasema unamjua huyo Beckham nikasema simjui Ila Kuna bro fulani katupa majina kila mtu lake akacheka saaana akasema siku nitakupeleka ukaone hao wenye hao majina wanavokipiga ebwanaa eeeh nakumbuka ilikua mechi dhidi ya Newcastle man alikiwasha balaa yaan balaaa nikawaona wale wote jamaa aliotupa majina nilifurahi mnoo nikaja wambia Wana mtaani aisee majina aliotupa hawa jamaa wanachezea timu inaitwa Manchester United wanapiga mpira acha kabisa jamaa walifurahi mno na majina yakakolea zaidi tukaanza kujiita kabisa Manchester kids mpaka leo nikikutana na wale rafiki zangu wote tuko man utd na still tunaitanaga yale majina yetu hahahahaa,, Kama vipi na wew mdau share kidogo namna ulivojiunga na chama , GGMU
Ndiyo mkuu, nilienda jukwaa la Chel3 kuwazomea baada ya kupigwa na Wolver.
Hahahahaha Safi Sana mkuu tutakaribia inshalaahMe nilinunuliwa mfuko kuwekea madaftari(beg tuseme) wa man utd wakati niko primary darasa la kwanza ndo ukawa mwanzo wa kuwa die hard man utd fan ingawaje kuna kipind niliwakataa man utd kama mashabiki wa aseno sahvi....
Hivyo nimeanza kuwa shabiki mnazi wa man utd nikiwa na miaka 8....karbuni tabata Ubuge Arena(kibanda umiza) msikisikie shombo zangu.
Siyo nyie mko tandahimba uko mkishiba pilau mnaanza kutangaza ubingwaHawa ndio wanaenjoi christmas bana



Wengi wamekuwa makocha na wamefeli vibaya mnoo..Hao malijendi wenu hamna kitu nje ya uwanja. Akipigwa mechi mbili utasikia "he's not good enough".
Endelea kujidanganya ..hii timu imebaki brand tu hamna kitu tena..Haters wanaiongezea United Popularity bila kujua. Man akiwa anacheza, unaweza dhani inachezwa mechi moja tu siku hiyo, kila sehemu ni United United. Akishindwa anaandikwa sana, akishinda anaandikwa saana, hizo zote ni mtaji!!
Sent from my SM-J530F using JamiiForums mobile app
Kila mtu na historia yake kwnye kuipenda team.....Hahahahaha Safi Sana mkuu tutakaribia inshalaah
Wewe chalii bado sana acha kutushika hii nyumbu fc umeijua kupitia Cristiano RonaldoLeo naleta stori namna nilivoanza kua shabiki wa hili chama.. nakumbuka mwaka 1999 nikiwa darasa la tatu tulikua tunapenda Sana mpira tukawa na katimu ketu ka mtaani pale na tuna uwanja wetu hapo hapo Sasa Kuna bro mmoja alikua mtu mzima fulani alikuja akatuletea mpira wa gozi baada ya kuona juhudi zetu za kupenda soka Basi Kuna siku akaja akasema Leo nawapa majina mengine mtakua mnayatumia Kama yenu mkiwa uwanjani Basi jamaa kila mtu akampa jina kulingana na uwezo wake uwanjani wakati huo sisi wadogo hatujui mambo ya mpira wa ulaya jamaa akatupa majina ya wale wachezaji wa kikosi Cha man utd kuanzia golikipa Mimi nikawa naitwa bechham alijuepo gigs silivester sosha yaan tulikua full Basi ndio tukawa tunajiita hvo uwanjani hata kuomba kupasiana pasi muda ukaenda mshua akasikia naitwa beckham akasema unamjua huyo Beckham nikasema simjui Ila Kuna bro fulani katupa majina kila mtu lake akacheka saaana akasema siku nitakupeleka ukaone hao wenye hao majina wanavokipiga ebwanaa eeeh nakumbuka ilikua mechi dhidi ya Newcastle man alikiwasha balaa yaan balaaa nikawaona wale wote jamaa aliotupa majina nilifurahi mnoo nikaja wambia Wana mtaani aisee majina aliotupa hawa jamaa wanachezea timu inaitwa Manchester United wanapiga mpira acha kabisa jamaa walifurahi mno na majina yakakolea zaidi tukaanza kujiita kabisa Manchester kids mpaka leo nikikutana na wale rafiki zangu wote tuko man utd na still tunaitanaga yale majina yetu hahahahaa,, Kama vipi na wew mdau share kidogo namna ulivojiunga na chama , GGMU
Newcastle anakunyonywa adduburu leoMnashinda game moja mnaota mapembe
Subili muone mtakachofanywa
Nyumbu nyie
Citizen chairman




Huyo tunamnyonga gori tano, tunaingia top 4 leo leo
Nikutoe tu waswas game ya leo nyepes sana labda leister ajitahid apate sare mara ya kwnza na ya mwisho leicester kumfunga man utd ni 2014 miaka 6 sasa umri wa mwanangu na hapo ni ile ma utd ya moyes mbovu iliyojichokea........leicester kwa man utd hasumbui yahnMnashinda game moja mnaota mapembe
Subili muone mtakachofanywa
Nyumbu nyie
Citizen chairman