ChinaHivi fellaini manywele aliendaga wapi?
Bailly ana ubora gani over Lindelof ?Mkuu Bailey ni bonge la beki, mchawi majeruhi tu.
Me kwangu Bailey ni bora zaidi ya Lindolof.
Huyu Liverpool aliyefungwa na Wolves nyumbani kwake hawezi kumfunga Sheffield Utd hadi apewe soft penalt ndiyo apate sare. Hizo mechi mbili na Liverpool pointi sita zihesabu kibindoni hakuna jinsi
Amsha amsha sio ya kitoto hiyo bonge la wimboofficial man united video song
Arsenal wakatumie hako kautaratibu.. katawasaidia sana na Arteta waoPana kipindi hali ilikuwa mbaya nikajijengea kiutaratibu cha kuwa nakula mapema sana kabla ya kuangalia game zetu na kalinisaidia sana hako kautaratibu
Wakati mwingine huwa nachelewa kumuelewa kabisa, eti lingard mwingereza umfananishe na mdachi vdb, jokes as usualLeo ARV katoa boko, inambidi kuomba msamaha wana jukwaa wenzie.
Hata kama mchezaji una mchukia jitahidi kuficha hisia zako.



Afadhali ukarudisha hii Avatar, ni heri ukachange id aisee cz humu tunatambuana kwa Avatar kwnz.Shukrani mkuu
Arsenal8 wakatumie hako kautaratibu.. katawasaidia sana na Arteta wao




Hamna jombaa hakuna kwere wala nini. Ujue hulka zetu binadamu ziko very complex. Sometimes huwa inakuwa ngumu sana kuelewa kwa nini wengine wanaishi kwenye maamuzi fulani. Zamani nilikuwa nashangaa, mtu anaachaje kushabikia timu? Sijatulia yakanikutaMkuu, acha kujilazimisha kunywa sumu, rudi kundini.


. Tukiweka unazi kando nadhani game tuliishika hata kabla ya Martial red card. Tukirudiana mnaweza kupata matokeo kwa kuwa sie hatuko kwenye form ilhali nyie ndiyo kwanza mmeipata. Raundi ya pili tutarudi vizuri so mtapokea kipigo kingine.Ile gemu spurs alibahatika sana na maamuzi mabovu ya refa mpira ukirudiwa spurs hashindi
Kama mnajiamin nyie vidume njoon tukutane semi Final
Carabao hilo ni kombe la pep, automatic
Nyie mnatuvimbia epl tu, tukija huku tunawanyoosha, hakuna cha debry wala nin
The citizen chairman
ARSEN8
Sio kitu cha kuomba hicho yaani moja haikai mbili huipati ni mwendo wa kutuna na kisirani cha mwendo wa wastani kama wife au mtoto ni timu pinzani akitabasamu wahisi anakubeza na kukuchekaArsenal wakatumie hako kautaratibu.. katawasaidia sana na Arteta wao
Mmmmh,Mnafungika vizuri sana nyie..hata ile game ya 6-1 haionyeshi stori ya game ile..Redcard tu ndo iliyovuruga na Ole kumuanzisha Matic+Pogba..Tukiwawekea Fred + McTominay+Fernandes..na juu akacheza Martial+Cavani+Rashford hapo tegemea a fully cracker..sio ile gemu mlioshinda tu from nowhere
Spurs hawez kumfunga united tena ile bahati ya umeme ya lamela haijitokei tenaTukiweka unazi kando nadhani game tuliishika hata kabla ya Martial red card. Tukirudiana mnaweza kupata matokeo kwa kuwa sie hatuko kwenye form ilhali nyie ndiyo kwanza mmeipata. Raundi ya pili tutarudi vizuri so mtapokea kipigo kingine.
Sie udhaifu wetu utaisha dirisha hili la usajili. Tutasajili CB anayecheza kushoto azibe pengo la Super Jan, na kiungo mkabaji atakaye chukua nafasi za hawa akina Winks na mwenzake Sissoko. Kwa hizo addition mbili tu (Skriniar & Sabitzer) tunakiwasha tena kama tulivyoanza ligi.Spurs hawez kumfunga united tena ile bahati ya umeme ya lamela haijitokei tena