Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,504
- 911,249
Teh teh teh kumbe mnakumbukaKuna mdaualitabiri FT wao 0 sisi 2 imekuwa.
Well done, hii inazidi kuleta kujiamini next stop Leicester akikaa itakuwa poa sana.
Cavani anatupa option ambayo musimu uliopita hatukuwa nayo ili kombe tunachukua na EPL pia. Liverpool tutamfunga mechi zote mbili pointi sita kibindoni hazina mjadalaCity mkuu ni OT haf game moja tu ukipigwa ndo basi hamna tena home and away kama mwaka jana
Hivyo ulivyojitoa mwenyewe hukuumia mkuu?We NYUMBU aka PUNDA Kama PUNDA game ya leo mkishinda najitoa JF walahi.
Ameshajitoa mkuu ,,amesema ameumia sana,,kama unaelewa maana halisi ya “Walahi” basi utajitoa
Kwa mpira wetu wa sasa ni uongo kujiita tittle contenders. Wachezaji wanaoibeba timu wameanza kuchoka kwa kucheza kila mechi hivyo timu inacheza hovyo sana. Maeneo dhaifu yameanza kuwa exposed. Naamini January Levy atafanya tena master class.True..
Vipi leo ukikosa matokea vs Leicester bado utaendelea kutembea kifua mbele kuwa EPL yenu?
Timu yangu mbovu kwa sasa ila tukikutana mmeisha.Tunapitia pathway ngumu sana..Everton—>City—probably—>Spurs
ila naimani hili kombe tutachukua
GGMU GGMU!!!
Mnafungika vizuri sana nyie..hata ile game ya 6-1 haionyeshi stori ya game ile..Redcard tu ndo iliyovuruga na Ole kumuanzisha Matic+Pogba..Tukiwawekea Fred + McTominay+Fernandes..na juu akacheza Martial+Cavani+Rashford hapo tegemea a fully cracker..sio ile gemu mlioshinda tu from nowhereMngekutana na sisi mngetoka mapema mkuu.![]()
Nadhani utakuwa umetokaWe NYUMBU aka PUNDA Kama PUNDA game ya leo mkishinda najitoa JF walahi.
Napenda sana mchezaji ambaye anaweza kupiga miguu yote with accuracy. Angalia goli la Cavani na kapigia kushotoCavani ni mtu na nusu naona hali ya utulivu inarejea pogba safi matic safi
Ile gemu spurs alibahatika sana na maamuzi mabovu ya refa mpira ukirudiwa spurs hashindiMnafungika vizuri sana nyie..hata ile game ya 6-1 haionyeshi stori ya game ile..Redcard tu ndo iliyovuruga na Ole kumuanzisha Matic+Pogba..Tukiwawekea Fred + McTominay+Fernandes..na juu akacheza Martial+Cavani+Rashford hapo tegemea a fully cracker..sio ile gemu mlioshinda tu from nowhere
Kwa huyo jamaa sina cha kusema mkuu ni bonge la mchezaj hata wale washambuliaji wetu wameanza kutuliza akili angalia kichwa alichopiga greenwood cross ilipigwa na terres wameanza kuonesha ukomavu jambo ambalo huko nyuma hatukuwah kuliona cavan kaongeza kituNapenda sana mchezaji ambaye anaweza kupiga miguu yote with accuracy. Angalia goli la Cavani na kapigia kushoto