Ole anatakiwa aumize ndonga kwa Klop, maana kinyume chetu simuoni wa kumzuia.
Ili tuwe na uhakika wa ubingwa tunahitaji tumchinje Jogoo.
Na Jogoo kwa sasa kaota meno, ana ng'ata kinoma.
Kwa hiyo Sorkjaer anatakiwa aumize ndonga ni silaa gani ya kutumia kumdhibiti jogoo.
Nina uhakika tukimla Jogoo na kummaliza tayari tutakua na afya ya kuchukua mwali.