Ila anayefungwa na Everton atabeba ndoo ?Unashindwa mfunga NYUMBU alafu unataka ubingwa??
Hata wapiga kelele wanaorandaranda kila jukwaa la timu zingine sasa hivi wamepotea.Ukisema kwangu panaungua hujui pa mwenzio panateketea "kuiombea arsenal dua mbaya kipindi hiki ni matumizi mabaya ya dua "
Manchester United-
Manchester City (0-0)Ulitamani aje UTD?baada ya kumfukuza kocha wao Dortmund wanaelekea kumpa kandarasi marco rose,
hii ni habari mbaya kiupande wangu kwa mustakabali wa baadae wa manchester united








kuna hatari ya kupewa adhabu ya real sociedadUEFA wamefanya draw ya 16 bora, nyie subirini ya kwenu baadae kidogo.
Wameanza na ya kaka zenu kwanza.
kuna hatari ya kupewa adhabu ya real sociedad
Kwa lugha rahisi amemkana agent wake