Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Arsenal zaidi ya hoi? Liva kapigwa 7, city 5, man u 6, dortmund 5 (na kocha kafukuzwa), barca 8 (na kocha, mgt na wachezaji wamefukuzwa, madrid kapigwa nje ndan na shakhtar kapita kimungu mungu, man u kajikuta europa, inter kashindwa hata kuja europa na msimu uliopita walifika fainali, bayern kala nne juzi kasuluhu kizembe kwa kuanza kuongozwa.

Ligi tano bora wanaoongoza siyo waliozoeleka na wengine wanapishana

Arsenal na uhoi wote bado haijafungwa zaidi ya goli tatu katika mechi moja.
Tunaangalia consistency mkuu ,,,, kufungwa Ni kufungwa tu , haijalishi goli ngapi , kikubwa Ni kwamba umepoteza points !!!!!
 
Arsenal zaidi ya hoi? Liva kapigwa 7, city 5, man u 6, dortmund 5 (na kocha kafukuzwa), barca 8 (na kocha, mgt na wachezaji wamefukuzwa, madrid kapigwa nje ndan na shakhtar kapita kimungu mungu, man u kajikuta europa, inter kashindwa hata kuja europa na msimu uliopita walifika fainali, bayern kala nne juzi kasuluhu kizembe kwa kuanza kuongozwa.

Ligi tano bora wanaoongoza siyo waliozoeleka na wengine wanapishana

Arsenal na uhoi wote bado haijafungwa zaidi ya goli tatu katika mechi moja.
Aki hapo umepeana "ujinga"..

Form ya Arsenal haiwezi kufananishwa na form ya hizo timu kubwa ulaya ambazo zinasuasua.
 
Aki hapo umepeana "ujinga"?..

Form ya Arsenal haiwezi kufananishwa na form ya hizo timu kubwa ulaya ambazo zinasuasua.
Hua unatia huruma ukiwa unazunguka humu unatukana na nikikuuliza maswali hata kujibu hauwezi kwa uchungu unavyokukaba rohoni.

Leo umejitokeza mapema nahisi una imani mtashinda. Mi sijafananisha nimeonyesha jinsi timu zinavyohustle.
 
Mkuu una roho ya chuma aise kama sio Limbwata la Arsenal pale London
 
Hua unatia huruma ukiwa unazunguka humu unatukana na nikikuuliza maswali hata kujibu hauwezi kwa uchungu unavyokukaba rohoni.

Leo umejitokeza mapema nahisi una imani mtashinda. Mi sijafananisha nimeonyesha jinsi timu zinavyohustle.
Swali gani sijajibu mkuu??...

Nimeona hapo juu umejitetea kuwa timu nyingine zinahustle na Arsenal haipo level za Liverpool au City..sasa mkuu ndo ya kufungwa mechi 7 kati ya 13?

Anyway..
 
★Manchester United are set to miss out on the signing of Milan midfielder Hakan Calhanoglu.

The Red Devils have been tipped to make a move for the 26-year-old in 2021, with his current deal at San Siro due to expire at the end of the season.

However, Milan have no intention of letting Calhanoglu leave, and his agent is expected to meet club officials to discuss a contract renewal in the coming weeks.★

#GGMU

manutd |
IMG_20201217_195719_103.jpeg
 
★Cavani charged by FA over social media post!
Edinson Cavani apologised for his Instagram message, and Manchester United insisted there was no "malicious intent" on the Uruguayan's part.★

#GGMU

manutd |

manutd |
IMG_20201217_195437_140.jpeg
 
★Fabrizio Romano: United are following Dayot Upamecano and are in contact with his agent, but at the moment they are not making any bid. He will not leave RB Leipzig in January★

#GGMU

manutd |
 
Swali gani sijajibu mkuu??...

Nimeona hapo juu umejitetea kuwa timu nyingine zinahustle na Arsenal haipo level za Liverpool au City..sasa mkuu ndo ya kufungwa mechi 7 kati ya 13?

Anyway..
Chief Arsenal sasa hivi inafight kutoshuka daraja na kuwavutia potential players. Yaani ni kwamba ukishindwa kuifunga Arsenal hii wewe ndiye mwenye matatizo.
 
Back
Top Bottom