Ugiligili
JF-Expert Member
- Jun 20, 2014
- 3,023
- 4,071
Hivi mafanikio makubwa ya Bielsa katika coaching ni yapi ?
kwa ufupi jamaa ndio “Mentor” wa PEP Gardiola na baadhi makocha wengine wakubwa..Hes the FATHER OF BEAUTIFUL FOOTBAL
Hivi mafanikio makubwa ya Bielsa katika coaching ni yapi ?
Aliitwa black akakasirika angeitwa nweusi je! Si angejinyonga kabisaBoss hii ni comment bora ya mwaka
kwangu ni ujinga wa hali ya juu kulalamika eti kisa mtu kakuita black
Ole hana uwezo Wa kuboresha kipaji cha mchezaji. Atamuua tu kiwango kisha atabaki kama James tu★Kwani huwa tunasajili kusaidia Timu ama Kusaidia Kocha???★
Ole hana uwezo Wa kuboresha kipaji cha mchezaji. Atamuua tu kiwango kisha atabaki kama James tu




Alikua anamuweka benchi samata pale genk★Mail Sport | Scouts from Arsenal, Tottenham, Everton and Man Utd will watch Leon Bailey on Thursday night against Slavia Prague.★
#GGMU
manutd | View attachment 1646146
Kaongea kinafiki sana hapo eti Leipzig na PSG ni group gumu★Jose Mourinho: Manchester United is one of the top teams. The group was very hard, PSG, Manchester, Leipzig, the group was of course very hard. We all knew it was not going to be easy for any one of them, we knew from that group a top team would drop to the Europa League.★
#GGMU
manutd |