Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Ukimpa Morinho hela alete wachezaji anaowataka.

Anaweza kukupa vikombe mpaka ushangae.

Ila usimfanyie kama Ed alivyomfanyia.
 
Bielsa mbinu zake zinaenda na wachezaji underdogs..wasio na majina

Huwezi kumkimbiza Pogba na Martial Kwa style za Bielsa..
Watamgomea au atawaweka benchi mtalia lia..

Wachezaji ma superstar hawawezi mziki wa Bielsa wa wa kusahambulia non stop..
 
Man Utd are always the Record wRecker,safari ndio imeshaanza na Arsenal wanajua shughuli yao na Everton,Wakawaulize vijana wa bolton.Everton wana hasira ya kufungwa na Man.
Man Utd haikamatiki,ni sawasa na kutaka kukata mti mkubwa kwa kutumia wembe.
Of course
 
Nadhani sasa ni wakati wa kuacha kujificha kwenye majani ya mchicha tukitegemea kuwa matone ya mvua hayatatufikia
 
Kumbe unajua kuchambua
 
Labda ukimsikiza Demba Ba hapa unaweza elewa zaidi. Ila anachodai yeye ni kwamba fourth oficial alivyomtambulisha kwa refa si vile anavyotambulisha wazungu. Mfano alimwambia "Book that black guy"! Kitu ambacho demba anasema mbona ingekuwa kwa mzungu mnasema "Book that guy!?"
Your browser is not able to display this video.
 
Tatizo Waafrika hatujiamini na hatujikubali kiasi cha kwamba tumekubali fahari yetu kugeuka kuwa matusi, tumeshindwa kui brand rangi yetu kuonekana yenye thamani tumebaki kulia lia tu.

Wazungu wameibrand rangi yao inayofanana na kitimoto mpk inaonekana ni rangi nzr na bora, leo hii kama ikitokea kuna weusi watupu af mzungu mmoja na kamisaa akasema "book that white guy" wala mzungu asingelalama na angefurahi kuonekana anahusudiwa cz wamejibrand.

Ifike mahali waafrika tuache kulia lia na tusikubali kasumba za wazungu eti kwamba kumuita mtu black ni tusi, sisi wenyewe tujiite blacks na tujivunie ublack na wao wakituita blacks nasi tuwaite pigs maisha yaendelee.

Ivyo yani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…