Manchester United (Red Devils) | Special Thread

pale alishakubali matokeo na bahati mbaya tunafunga magoli 2 haliyakuwa tushafanya sub mara tatu.
nakuhakikishia pale angalimuingiza mata au james kama ingelikuwa bado hajamaliza round 3 za mabadiliko.

jamaa ni mjinga sana
Pogba anapiga krosi hamna hata mtu kwenye boksi..mata na ighalo bora hata wangeingia na sio fosu mensah..

Tutapata tabu sana mkuu na huyu Ole
 
luke shaw alikuwa vizuri sana kiulinzi hapo jana, ikiwa ole amemtoa alex telles kwa sababu ya timu yetu kukosa mchezaji tishio kwenye box atakayeweza kuendana na movement za telles na kuwafanya leipzig wawe bize hususani kwenye crossing basi hilo ni tatizo jengine la ole, ina maana ameshindwa kutengeneza system bali ametengeneza utegemezi wa mtu fulani.

huhitaji mtu special atakayeweza kuendana na movement fulani bali unahitaji mfumo na huo mfumo hutengenezwa kupitia mazoezi.

labda munisaidie:
ukiondoa mechi ya everton ambayo tulishuhudia keane na holgate wakilinda kizembe kwenye box na kumruhusu bruno afanya kile alichokifanya, je ni mechi gani nyengine tulioshuhudia rashford au greenwood akifunga au alizofunga kwa mpira wa kichwa?
naomba munikumbushe
 
Labda kocha alitaka kuwachezesha timu nzima vijana toka academy (Fosu-Mensah,Brandon,Tuanzebe,Pogba,McTominay,Rashford,Greenword)
 
Sikubahatika kuangalia kabisa mechi ya jana hata matokeo ndiyo nimejua sasa hivi.

Mimi niliamini UEFA tulitoka siku tuliyopoteza mechi na Instanbull hiyo mechi ndiyo imetuondoa kwenye haya mashindano.

Yote kwa yote Laisez Faire attitude ya Ole imekuwa ikitugharimu kila mara tunalazimika kutafuta ushindi wa lazima.

Pamoja na kufungwa wa kumfukuza Ole kazini ni bodi ya United.

United inacheza hovyo sana inapokuwa na pressure sababu kubwa ni kuwa kikosi bado hakina balance kwenye maeneo mengi uwanjani.
 
Mimi huwa namtetea Ole pale anayefanya vizuri lakini alifanya vibaya sina time nae.

Nilishasema toka siku nyingi Attitude ya Ole inatugharimu big time.

Anyway mimi sikuangalia mechi jana hata highlights sitazingalia pia.
 
Unazunguka sana more than 2 years tunasema UWEZO WA KOCHA NI MDOGO tunaenda mbele hatua 2 tunasahau then tunarudi hatua 7 nyuma ndio tunashtuka weekend atamfunga Man City atapewa sifa zote
 
Mimi huwa namtetea Ole pale anayefanya vizuri lakini alifanya vibaya sina time nae.

Nilishasema toka siku nyingi Attitude ya Ole inatugharimu big time.

Anyway mimi sikuangalia mechi jana hata highlights sitazingalia pia.
bora usiangalie.
jamaa wametudhalilisha sana kipindi cha kwanza,
halftime tungeliondoka na magoli matatu ya kufungwa ila bahati mbaya kuna mchezaji wa leipzig alikuwa offside kidogo sana
 
Kocha mpya bila shaka atataka kikosi chake. Mko tayari kufanya overhaul? Usidhani kuwa kocha atakipokea tu kikosi anachokikuta kwa kuwa wachezaji wengi wazuri. Kuna suala la personalities ambalo makocha wazuri huangalia zaidi.
 
watu mnamakasiriko sana leo wengine tushazoea tuliliona hili mda tu ole mweupe.
 
Na huku kazi anayo kidogo EZZ CHEZZ timu yako ilipigwa na timu gani vile huku Europa halafu mkasuluhu tatu tatu?
Siye hatuna shida. Wala hata hatukosi usingizi maana tushafuzu hata kabla ya game ya kesho, ndiyo ni kesho (noma sana kucheza alhamisi ila kwa kuanzia siyo mbaya).
 
Na huku kazi anayo kidogo EZZ CHEZZ timu yako ilipigwa na timu gani vile huku Europa halafu mkasuluhu tatu tatu?
Shida ya Spurs ni squad depth. Ukiacha wachezaji 11 wanaoanza hawa wengine ambao Jose hupenda kuwatumia kwenye Europa hawana motivation kabisa. Ndiyo sababu hata juzi kwenye game na hao wakulima LASK sare ilikuwa matokeo mazuri sana ukilinganisha na performance.

All in all Jose yeye anajua namna gani atadeliver kikombe kwa Levy.
 
United itakapomuachia Pogba atakuwa na miaka karibu 30. Raiola anajua tafsiri yake ndiyo sababu anajitahidi kufanya fujo ili United ifanye muamala mapema. Sema Woodward keshaijua janja yao maana yeye ni genius wa biashara ya soka. Unaweza usiamini Pogba akaja kuishia OT.

Wachezaji wengi wafaransa kipaumbele chao siyo mafanikio ya uwanjani ndiyo sababu wana low mentalities kunako game. Angalia Martial, Bakayoko, Griezmann, na sasa Mbappe. Sisi ilibidi Levy aingilie kati ili asiingie hasara kwa Ndombele. Angalia namna anavyoisadia timu sasa hivi wakati msimu uliopita alikuwa anajifanya mgonjwa kila mechi.

Display zao uwanjani haziwiani kabisa na potential zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…