kedrick
JF-Expert Member
- Apr 25, 2015
- 5,286
- 5,274
Refa namba 4 kaonyesha vitendo vya ubaguzi wa rangiWakuu match ya psg imekuaje mbona haionekana tena live score
Refa namba 4 kaonyesha vitendo vya ubaguzi wa rangiWakuu match ya psg imekuaje mbona haionekana tena live score
Hili kuhepusha gharama marehemu hato safirishwaMajirani, vipi huu msiba wa leo.
Tunazika au tunasafirisha?
Kwa iyo inakuaje hapoWamezinguana huko. Mambo ya ubaguzi wa rangi.
Wazee wa come back, vipi leo? Au mida yenu bado?
Tunangojea cumbak hatutanii hata ziwe goli 10
Mpaka sasa mshasimama ktk mstari unaotenganisha UCL na Futuhi.





tulivyofungwa bao la 3 na psg means hata psg afungwe sisi tunAtokaTukifungwa ni kuomba psg afungwe, na yeye kapaki bus sijui itakuaje dadeki
Head to head I think so.tulivyofungwa bao la 3 na psg means hata psg afungwe sisi tunAtoka
Wenzio wanasema wanaona improvement mkuu hawawezi kukuelewa.Anayemtetea Kocha inabidi nayeye ajiangalie mara mbili...haiwezekani timu inacheza mpira mbovu kiasi hiki alaf watu wanatete kocha
kocha wetu HANA MBINU KABISA!! we need a new Coach!