Uhakika wa kunyanduliwa.Yeeees...leo uhakikaView attachment 1644912
Mashetani hata sisi Chelsea tumeshafungwa kama nyinyi ..ila maumivu tunayasikia tofauti
Du hawa ndg zetu wazee wa camubaki tuwasikilizie ila wajue hatujui kutunza siri tutasema tuMkuu tumesawazisha chaap kwa haraka
Du hawa ndg zetu wazee wa camubaki tuwasikilizie ila wajue hatujui kutunza siri tutasema tu
Wamezinguana huko. Mambo ya ubaguzi wa rangi.Wakuu match ya psg imekuaje mbona haionekana tena live score