Viper
JF-Expert Member
- Dec 21, 2007
- 3,666
- 1,406
Angalau Wazza kavunja rekodi hapa...sasa ndiye top scorer katika derby, akiwa na goli 11.
Muhimu point tatu mkuuu
Angalau Wazza kavunja rekodi hapa...sasa ndiye top scorer katika derby, akiwa na goli 11.
Si mbaya japo kuweka Record, well done rooney
Muhimu point tatu mkuuu
Kweli timu imecheza hovyo sana. Ila David's selection ndiyo imesababisha. Kwa kumkosa RvP, ilipaswa Javier na Kagawa waanze.
Lols, watu mna inda na inadi. Na mie leo mume 😡
Pole sana majirani zangu..
Kudos to City for a great performance. City deserved the 3 points.
........niliwaambia hawa ManU kuwa...msilete mchezo mchezo kwenye usajili......kila mliyekuwa mnamtaka alikuwa anachukuliwa na timu nyingine.....mkabakia kuchukua gharasha Fellaine......I never impressed by Fellaine kwenye Midfielder......never....ni afadhali Shinji mara kumi kuliko Fellaine gharasha......sasa hiyo ni alarm imelia...kazi kwenu
van Persie's absence clearly shows how United needs another top class number 9.GGMU
Poleni ni kweli mtani Mie naona Kagawa alikuwa acheze chini ya striker au kutokea kushoto kuingia kati kati ya the carrick angecheza vizuri nafasi yake walijichanganya Fellini na carrick nani acheze Hiyo nafasi ila Yaya aliwafanya Murudi sana nyuma ila mpira unaisha May poleni.Fellaini ni mchezaji mzuri; anafaa kwa style ya United. Leo David alichemsha kuwaanzisha Danny na Ashley. Kama RvP hayupo, unapaswa kuwapanga Kagawa na Javier.
Hili la kuwaacha hao kwa mechi nyingi, linaniogooesha zaidi.