cavani angefanya nini pale? kila siku nawaambia humu Man united bila martial mbele hatufanyi kitu,
amekosa mechi 4 za ligi, tumeshinda 1 tu, tena na newcastle, amerudi tumeshinda mfululizo mara 3, leo hayupo mambo yanaendelea.
si Greenwood ama Cavani ambaye anaweza fanya Deep completion kule mbele, Martial japo amemiss mechi zaidi ya 4 za ligi, ndio striker anayeongoza kwa deep completion, more than any other player ligi nzima.
View attachment 1637695
kama twitter yako haijafungiwa angalia hapa
wote cavani na greenwood hawana uwezo wa kuhold mpira na ku operate kwenye tight space na kutoa pasi ama nafasi wengine waweze kuzitumia.