NtYga
JF-Expert Member
- Aug 23, 2018
- 4,945
- 12,698
★Hapana haijachanika nika nembo flani keusi sijajua fuatilia kanahusika na nini★
jersey ya Bruno ilichanika?
jersey ya Bruno ilichanika?
Sijuiiii, labda tumuulize Dully Jr★Hivi mala ya mwisho Arse8 kucheza UCL ni mwka gani★
Muda wenu wa vilio umewadia, zingatia fixture yenu, kunywa maji mengi, pumzika muda wa kutosha. Maana dhoruba inayokuja! 😂 sasa hivi hamchezi tena na Krasnodar, Burnley, Stade Rennais, Sheffield United wala Newcastle United. Ni Spurs ukilala ukiamka Sevilla, ukipumzika kidogo ni Leeds United.
Scholes kazi yake ni kuponda.★Paul Scholes on Bruno handing the ball to Rashford for the penalty: “I don’t understand it, he had a chance of getting a European hat trick and has handed the ball away”★
#GGMU
manutd | View attachment 1634548
Scholes anaponda sana..kuna gemu Fred alipambana kichizi huku Tominay akiwa kapotea,lakini mwisho wa siku akamsifia Tominay kuwa ndo aliyecheza vizuri na Fred hastahili kuanza kikosini..nikasema huu ni ubaguzi,,hawa pundit wanaegemea chuki na mahabaScholes kazi yake ni kuponda.
Ukocha umemshinda sasa ni kutoa kasoro tu.
PP mbona hayupoDe Gea
AWB Lindelof Maguire Telles
VdB Fred Bruno
Greenwood Cavani Rashford/Martial
Kama Fred akiweza kuimprove kwa kiasi fulani na kukamata dimba ipasavyo,kikosi hiki ndo kinachoweza kutupa matokea chanya mengi msimu huu..
Shida ni kuwa Ole ataanza mechi ijayo na Martial as no 9
Telles is miles better than Shaw..Delivery zake ni nzuri sana

Huo msimamo wa hilo group ukiliagalia ni fikirishi sn...
Hakika mkuu. Telles ni evra mpya mkuu..De Gea
AWB Lindelof Maguire Telles
VdB Fred Bruno
Greenwood Cavani Rashford/Martial
Kama Fred akiweza kuimprove kwa kiasi fulani na kukamata dimba ipasavyo,kikosi hiki ndo kinachoweza kutupa matokea chanya mengi msimu huu..
Shida ni kuwa Ole ataanza mechi ijayo na Martial as no 9
Telles is miles better than Shaw..Delivery zake ni nzuri sana
BenchPP mbona hayupo![]()
Ulimsikiliza mkuu? Game ya juzi niliangalia bt sport, hayo maneno ya bruno waliyachukua tu out of context.Scholes anaponda sana..kuna gemu Fred alipambana kichizi huku Tominay akiwa kapotea,lakini mwisho wa siku akamsifia Tominay kuwa ndo aliyecheza vizuri na Fred hastahili kuanza kikosini..nikasema huu ni ubaguzi,,hawa pundit wanaegemea chuki na mahaba
I doubt Combo ya fred na Vdb kama inaweza kucheza Epl, unless ni timu ndogo zisizokuwa na Midfield nzuri, mechi ya Juzi walikuwa wanapitika kirahisi sana.De Gea
AWB Lindelof Maguire Telles
VdB Fred Bruno
Greenwood Cavani Rashford/Martial
Kama Fred akiweza kuimprove kwa kiasi fulani na kukamata dimba ipasavyo,kikosi hiki ndo kinachoweza kutupa matokea chanya mengi msimu huu..
Shida ni kuwa Ole ataanza mechi ijayo na Martial as no 9
Telles is miles better than Shaw..Delivery zake ni nzuri sana
Mechi nakumbuka ilikuwa ya ligi tena alikuwa na Allan Smith yule wa Arsenal..Allan akasema "Fred did his job perfectly,just little mistakesUlimsikiliza mkuu? Game ya juzi niliangalia bt sport, hayo maneno ya bruno waliyachukua tu out of context.
Waandishi wa habari wanapekenyua tu ili wauze.
Tuendelee kustick na Fred na Scott hadi lini mkuu?..Offensively tuna struggle sana na hii combo na siku hiyo Fernandes akiwa hayupo mchezoni basi shughuli inakuwa ngumu..I doubt Combo ya fred na Vdb kama inaweza kucheza Epl, unless ni timu ndogo zisizokuwa na Midfield nzuri, mechi ya Juzi walikuwa wanapitika kirahisi sana.
nakuunga mkonoTuendelee kustick na Fred na Scott hadi lini mkuu?..Offensively tuna struggle sana na hii combo na siku hiyo Fernandes akiwa hayupo mchezoni basi shughuli inakuwa ngumu..
Big match tunaweza kuanza na McFred strategically..lakini hizi burnley,fulham,n.k embu tucheze na hii mido combo tuone aisee
Hata mbeleni ningependa tuwe na Middle atleast wawili wanaoweza kuwa too offensive na mmoja wao kuwa na uwezo mkubwa wa kukaba pia..For the meantime tuipe chansi Fred,VdB na Bruno tuone
hili hata scholes kalisemaTuendelee kustick na Fred na Scott hadi lini mkuu?..Offensively tuna struggle sana na hii combo na siku hiyo Fernandes akiwa hayupo mchezoni basi shughuli inakuwa ngumu..
Big match tunaweza kuanza na McFred strategically..lakini hizi burnley,fulham,n.k embu tucheze na hii mido combo tuone aisee
Hata mbeleni ningependa tuwe na Middle atleast wawili wanaoweza kuwa too offensive na mmoja wao kuwa na uwezo mkubwa wa kukaba pia..For the meantime tuipe chansi Fred,VdB na Bruno tuone
Ngoja Mkuu waanze utaniambia, unless fred ame improve dramatically position wise.Tuendelee kustick na Fred na Scott hadi lini mkuu?..Offensively tuna struggle sana na hii combo na siku hiyo Fernandes akiwa hayupo mchezoni basi shughuli inakuwa ngumu..