Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

FB_IMG_16062918899958861.jpg
 
Hatukupaswa kufanya sub. ,,kumbuka attacking front line ya Leo ndy Mara ya kwanza kucheza pamoja.
Ilipaswa iendelee kucheza vile ilivyo ili kuleta matokeo zaidi na kuwafanya wazidi kuzoeana..
Ole ni muoga sana tu,, akaamua kufanya sub ambayo haieleweki anachokifanya..

Hata martial,, cavani,rashford ,,
Siku zote watu wanapiga kelele wacheze hivyo..akawa mbishi.

Next game atapanga kikosi cha upuuzi,, .badala ya kile kilicholeta mafanik
Tumeshaongoza tatu bila jumapili tuna mechi na Southampton kulikuwa na haja gani ya kuendelea kuwaweka kwenye risk wachezaji wetu muhimu?
 
Si identity ya fergie muda mwingi ila tumeshaitumia sana, hasa united ya 2008 ambayo Ole ndio alikuwa kocha wa maforward chini ya fergie.

Ronaldo, Tevez na Rooney wote walikuwa wakicheza pamoja, wanashuka chini wanapanda pamoja, wanabadilishana muda wote, Hii formation ilipewa Nickname ya 4-6-0.
Ole alipewa kazi ya kuirudisha identity ya United.

Inabidi tuifahamu identity ya United kwanza. Iliasisiwa lini na nani?

Halafu tuangalie kama anachofanya Ole ni kurudisha identity ya United.
 
Ole alipewa kazi ya kuirudisha identity ya United.

Inabidi tuifahamu identity ya United kwanza. Iliasisiwa lini na nani?

Halafu tuangalie kama anachofanya Ole ni kurudisha identity ya United.
Mafanikio:
Ole amefanikiwa kuifanya utd sio shamba la bibi kwa agents na players in term of transfers and salaries (refer signing zake).

Changamoto:
Ameshindwa kuziadhibu team zenye uwezo wa kawaida kama ilivyokua kawaida yetu pia amefail kutengeza clear identity of playing style.

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Ole alipewa kazi ya kuirudisha identity ya United.

Inabidi tuifahamu identity ya United kwanza. Iliasisiwa lini na nani?

Halafu tuangalie kama anachofanya Ole ni kurudisha identity ya United.
Identity ya man u ni attacking football,, na sio kupaki basi kama morinho..

Tunahitaji watu wenye kasi na njaa ya magoli..

Martial left... Cavan 9 ,,rashford au greenwood right wing.

Na aachane na mfumo wa Fred na tommy pamoja,, double defensive midifilders..
 
Tumeshaongoza tatu bila jumapili tuna mechi na Southampton kulikuwa na haja gani ya kuendelea kuwaweka kwenye risk wachezaji wetu muhimu?
Mkuu wachezaji wananunuliwa ili wacheze,,
Kumbuka hata mazoezini pia wanapata majeruhi.
Ile up front ya man u inacheza vile kwa Mara ya kwanza..
Ilitakiwa awape game times nyingi ili wazoeane zaidi kimfumo.

Ni kweli tulikuwa tunaongoza na ball possession ilifika man u 71%
Istanbul 29%../ kabla ya sub.

--- uliona kilichotokea baada ya sub zile za kipuuzi?
Man u 51%
Istanbul 49%
Tusifanye upuuzi huu kwa timu zinazojielewa..

Mpira ni magoli,,, hata tungefunga 10 isingekuwa tatizo... Na kuridhika.
 
"Kwa kweli, kila mchezaji anataka kufunga hat-trick, unajua?" Alisema Fernandes.

"Lakini baada ya mchezo [dhidi ya West Brom] katika Ligi ya Premia nilimwambia Rashy atapiga mpira wa adhabu katika mchezo unaofuata. Ninakumbuka hilo.

"Pia Rashy ni mmoja wa wafungaji bora katika Ligi ya Mabingwa [msimu huu, akiwa na mabao matano] kwa hivyo nadhani itakuwa muhimu kwake kuendelea kwenda huko na kuchukua ujasiri huo. "Kama ninavyosema, haijalishi ni nani anapiga mipira ya adhabu, jambo muhimu zaidi ni kufunga. Wakati timu inapofunga, mimi pia ninafunga.”
Captain Mentality
 
Back
Top Bottom