Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

David De Gea made the 500th appearance of his club career against Basaksehir

His club debut came in the CL, as a first half substitute in Atletico Madrid’s 2-0 defeat at Porto in September 2009★

#GGMU

manutd |
IMG_20201126_135946_547.jpeg
 
★Juan Mata is teaching Edinson Cavani how to survive in England

"I told him that it is important to have a couple of umbrellas, not only one, in Manchester. I am sure he’s got a few!

"He is loving where he lives and his family is also happy.” [United Review]★

#GGMU

manutd |
IMG_20201125_204452_731.jpeg
 
What a player he has been for us

Roho ya Solskjaer
amekuwa ni uti wa mgongo wa kiwiliwili chetu, uzuri ni kwamba tupo katika dunia ambayo mabepari wote wameliwa fedha zao na mdudu covid19 hivyo basi sidhani kama atatokezea mbabe wa kumsajili kwa miaka hii miwili ijayo au zaidi.

kama tutakuwa na consistency yenye kuambatana na pattern inayoeleweka kiuchezaji basi naamini bruno anaweza kuwa mchezaji muhimu atakayeimbwa na kila mshabiki.
 
Mimi nachofurahi zaidi kutoka kwake ni ule uwezo wa kutokuwa na mchezo mzuri lakini bado ata assist au kufunga kwenye gemu husika(ambayo hajacheza vizuri)

Amaizing kabisa..
 
Mimi nachofurahi zaidi kutoka kwake ni ule uwezo wa kutokuwa na mchezo mzuri lakini bado ata assist au kufunga kwenye gemu husika(ambayo hajacheza vizuri)

Amaizing kabisa..
ni kutokana na tabia yake ya kupenda kujaribu jambo gumu bila ya kujali position aliopo, hata mimi mwanzoni nilikuwa nachukizwa na tabia yake.

nimejifunza ni bora bruno anayepiga pasi kwa adui kuliko bwana midfield anayetamba na square pass
 
Tuendelee kustick na Fred na Scott hadi lini mkuu?..Offensively tuna struggle sana na hii combo na siku hiyo Fernandes akiwa hayupo mchezoni basi shughuli inakuwa ngumu..

Big match tunaweza kuanza na McFred strategically..lakini hizi burnley,fulham,n.k embu tucheze na hii mido combo tuone aisee

Hata mbeleni ningependa tuwe na Middle atleast wawili wanaoweza kuwa too offensive na mmoja wao kuwa na uwezo mkubwa wa kukaba pia..For the meantime tuipe chansi Fred,VdB na Bruno tuone

Mkuu umeandika madini ya thamani kubwa sana,Godbless you.
 
Back
Top Bottom