Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 30,689
- 39,757
Hata Carrick kipindi chake alikuwa anajitahidi position wise.Ili ucheze hivyo unahitaji DM world class kabisa kama alivyokuwa Fernandinho au Ndidi kwa kiasi fulani
Hata Carrick kipindi chake alikuwa anajitahidi position wise.Ili ucheze hivyo unahitaji DM world class kabisa kama alivyokuwa Fernandinho au Ndidi kwa kiasi fulani
Tangu carik astaafu man u hatujapata kiungo wa chini mwenye akili timamu
Hiyo playing style ni identity ya United?Kama umeangalia mechi ya West brom, kwa dakika Chache ambazo martial alienda Kushoto, rashford akaenda Kulia na cavani katikati, tulikuwa fluid sana.
Unapozungumzia fluid Attacking kwenye mpira unamaanisha ule uwezo wa wale wachezaji pale mbele kucheza nafasi zaidi ya moja. Wanaposhambulia wanaweza kubadilishana nafasi haraka haraka kutengeneza movement na kuwatoa defenders kwenye nafasi.
Kwa Timu yetu fluid ipo kushoto tu baina ya Martial na Rashford, hawa wapo comfortable kucheza striker ama ku cut in toka kushoto, na ni jambo la kawaida martial kumkuta kushoto japo anachezeshwa kati ama kumkuta Rashford kati japo yeye ni wa kushoto.
Mata alicheza Kulia mechi na WBA, Mata hawezi ku echange na wenzake, hawezi kudrible past player na muda mwingi anakuja katikati hivyo fluid inaharibika kulia.
Ndio maana mshabiki yoyote wa Man Utd anaefahamu hata basics za Formation utaona anataka winga wa kulia na makocha wote kuanzia LVG, mou mpaka Ole wanataka winga Lakini Bwana Mkubwa Woodward anajua zaidi.
Carik alikuwa anatosha kabisa.Hata Carrick kipindi chake alikuwa anajitahidi position wise.
Si identity ya fergie muda mwingi ila tumeshaitumia sana, hasa united ya 2008 ambayo Ole ndio alikuwa kocha wa maforward chini ya fergie.Hiyo playing style ni identity ya United?
Mkuu sasa ni modern football,,, enzi ya kutegemea style moja tu,,,, kuweka majalo ,,, zimekwisha..Hiyo playing style ni identity ya United?
But tunaambiwa OGS alipewa kazi arudishe identity ya UnitedMkuu sasa ni modern football,,, enzi ya kutegemea style moja tu,,,, kuweka majalo ,,, zimekwisha..
Lazima timu iwe na mbinu mbadala..
--Sometimes mnatumia pembeni,,
--Sometimes mnatumia njia za kupenyeza..
---Sometimes mnatumia long balls,,,
--Short passes.. Nk..
-- hata kutengeneza penalty.. Kkkkkkkk
Zote ni.mbinu mkuu..
Now timu hazina really identity ktk football ,,,
Wanachotaka ni ushindi..
Identity ya united ni attacking football,,But tunaambiwa OGS alipewa kazi arudishe identity ya United
kumbe unapigia kelele kitu ambacho hukijui ?Hyo sijuwi kiutaalam inaitwaje,,lakini double attacking inakuwa hivyo..
Mkuu umetaka kuelezwa double attacking midifilders ni ipi?na wanapangwane?kumbe unapigia kelele kitu ambacho hukijui ?
Dstv ndo mwenye licence ya kuonyesha UEFA huku sub-saharan countries..So wewe kaa karibu na Supersport football/football plushivi game yetu inaonyeshwa dstv?
4-2-3-1Hii inakuwa 4 3 3 au or 4 2 1 3 ?
mwalimu anatumia4-2-3-1