Mkuu umetaka kuelezwa double attacking midifilders ni ipi?na wanapangwane?

Nikakuwekea kikosi,,
Na image ya man u yenye aina ya formation pia nikakuwekea,,

Sasa kuniambiya huyo ni mfumo gani ulimaanisha nn?

Au uonekane unafahamu zaidi kuliko wengine?.
mimi nataka kujua hiyo double attacking ndiyo kitu gani siyo kujimwambafai sina nia wala sababu ya kufanya hivyo.
 
mimi nataka kujua hiyo double attacking ndiyo kitu gani siyo kujimwambafai sina nia wala sababu ya kufanya hivyo.
Formation ni hiyo mkuu,,kama una lolote muulize olé.
IMG_20201124_132139_674.JPG
 
Timo Werner kwa kukosa tu magoli hana mpinzani..Martial na Rashford wana afadhali

Sema watu wameshinda dakika za mwisho wote..Sevilla na Chelsea..Good spirit
 
ni mara nyingi tu na hakijawahi kuwa na impact yoyote
Mkuu kwa kikosi hiki cha Leo tusiposhinda,,

Basi tutakuwa hakuna timu tena hapo,
Maana hiyo formation ya Leo ndy imeliliwa sana na wadau wa man u icheze hivyo..
Leo ni attacking zaidi Mkuu..
Lazima tushinde..
 
Back
Top Bottom