Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Sema hizi timu zetu za youth zimekuwa zina madogo ambao tunaona ni next big thing lakini kadri muda unavyokwenda hizi ndoto zinapotea..Greenwood hajatuangusha so far
Ila mkuu wapo pia wanaotoboa, timu za Epl zenye Academy players wa man United ni Nyingi sana. Na unakuta Hata Kina Januzaj ama perreira wakikosa namba Utd wanakuwa na Career nzuri.
 
Ok ila Hanibal level nyingine yule dogo halafu mtu anasema tuendelee kumvumilia Pogba ?

Huyu dogo angekuwa chini ya Wenger angekuwa alishapewa senior debuts muda mrefu tu.
Bado mtoto sana mkuu, anaweza akapewa debut msimu huu mechi ndogo labda.
 
★Hakuna ambae anararamika Pogba si mzuri ni mzuri ila swala lakuwa anatoa shit kuhusu timu inomuweka mjini ndio kosa,Afu sioni umaana wakumng'ang'ania yeye kama kasema hayuko happy he iz free to go wherever he wants sio tunabaki kubembeleza jibaba zima bhana kuna muda tubadilike mzee★
Pogba ana uzuri gani?
 
Siyo kwenye timu yetu tu hivi Lamasia kuzalisha talent ya level za kina Iniesta, Xavi na Messi ilikuwa lini?

Hata Man city pamoja na academy yao mpaka sasa mchezaji mzuri waliyezalisha mwenye promising future ni Foden na Sancho tu.

Liverpool mchezaji pekee ambaye ameshaprove kwenye elite level ni Alexander Anold tu lakini siyo kwamba hawazalishi talent huko chini.

Chelsea wanazalisha vijana wengi sana lakini wengi huishia midlevel career wanapotea.

Atleast United we can brag about na talents tunazozalisha kwenye kikosi chetu mpaka tuna wachezaji 5
Rashford, Greenwood, Paul Pogba, William's, Dean Henderson, Lingard .

Lakini ukiangalia Epl kwenye vilabu vingine tunawachezaji wengi sana ambao wameibukia kwenye academy za united.
Michael Keane, Drinkwater, Joshua King etc.
Na lingard?
 
kikosi cha man U U23 kina wachezaji wawili tu ambao ni zaidi ya miaka 20, waliobakia wote ni watoto wadogo, mejbri na watoto wengine wawili wana miaka 17 na wapo U23, kuna wachezaji 10 wanaqualify kucheza U18 ila wanacheza U23.

ukienda U18 kuna wachezaji kibao wana miaka 16, kuna miaka 16 wengi kuliko 18

U18 sasa hivi ipo nafasi 4 imepitwa point 2 na wa juu, na ina viporo viwili.

greenwood alitakiwa awe U18 kule lakini sio tu hayupo huko, hata U23 hayupo bali yupo kikosi cha kwanza, tunawapa nafasi sana vijana na tunawapa challenge zaidi ya umri wao ndio maana Academy ya Man U ina wachezaji wengi zaidi uingereza.

kuna majembe wengi wana kwenye vijana wetu, na Ole amefanya kazi kubwa kusajili watoto, kina Puigmal, mengi, mejbri, etc.
Ila kwa Amad Diallo hapa solskjaer alicheza kama pele

Kwa changamoto naungana na ww nikimuangalia Rashford yule wa van gaal na wa sasa ni tofaut wa van gaal alikuwa moto naona ubadilishwaj wa makocha umechangia pia
 
★Schmeichel

#Wallpaper

manutd |
IMG_20201120_002109_856.jpeg
 
Hivi Romeo kwanini hakutafutiwa timu ya kwenda baada ya sisi kuwa na mpango wa kumrudisha Dean Henderson?
 
Tunamkosea sana huyu jamaa..aondoke tu january
Ni kweli mkuu sio fair tulichomfanyia ila sometime roho mbaya nayo inahitajika. Kwa form ya pickford wangekuwa na Romero Everton bado wangekuwa Juu kileleni, wale ni wapinzani wetu sasa hivi.
 
★Putting in the work
Afu kumbe kwenye chumba cha GYM ma WALLPAPER ya wazee wa kazi yapo yakutosha kina SCHOLES,CR7,GIGGS,CANTONA,BECKHAM,ROY KEANE sikuwaga nimefuatilia hili★

#GGMU

#manutd
IMG_20201120_191553_749.jpeg
IMG_20201120_191552_069.jpeg
IMG_20201120_191550_587.jpeg
IMG_20201120_191547_632.jpeg
 
Back
Top Bottom