Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Midfielder sio lazima awe defensive ama attacking tu, Pogba anachezeshwa kama box to box (sawa na Timu ya taifa). Na ni katika nafasi hii ndio unapata quality zake zote ikiwemo long pass.
 
★Tunacho Ongelea ni Goli ama Tunaongelea kafunga vP kwani ukifunga kwa Penati inakuwaga si Goli. Ko mfungaji wa Msimu wakiwa wanahesabu magoli yake huwa wanayatoa yale ya PENATI???★
Huyo kuku wenu Kati ya hizo goli 6 amefunga magoli mangapi ya penalty.
 
★For sure hata jana kuna jamaa katoka kumtetea ety wewe mtu anamponda Mwajili wake na dhahili tunaona haonyeshi kiwango kawa Ronaldo ama Messi kwamba ashuke kiwango hatolewi First 11 hatupi hivyo aende zake bana★
Huyu tuuze tu, overrated, virus (in Mou voice)

Kila akiojiwa na france media lazima azue drama, mbona fundi bruno akiojiwa anakua positive kw club na kocha wake
 
★£1billion spent on players since Sir Alex Ferguson retired in 2013...


Four managers. 36 signings. From Moyes to Ole, Fellaini to Cavani.★

#GGMU


manutd |
 
PAPAA GX kwenye ubora wako.
Naona uko ndani ya bikini, ni kujikatisha katisha kwenye magheto ya wauni.

Mara hii ushafika huku?
Hivi kwenye ile story uliishia wapi? Ni tag nikamalizie achana na hili li timu litakupa stress.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…