Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,063
- 43,492
Kuna watu mkuu mchezaji akiwa Hana flair kwao sio bora.Thomas Muller anacheza position hiyo hiyo anayocheza Bruno na De Bruyne ila kama unaangalia mpira kwa sababu ya betting huwezi kuona ubora wa huyo kiumbe.
Kwangu mimi Muller yupo same level kama Wayne Rooney, akicheza kama striker anakupa Goli 20 ama zaidi kwa msimu na akicheza kama playmaker anakupa Assist 20. Na wanafanya hivi kwa consistency miaka kibao na sio kubahatisha msimu mmoja.



★
★
️ The 10 best playmakers in the world according to FourFourTwo: