Nenda kwenye uzi wako ukaokoe jahaziKama nalo lilikuwepo vile, yan anavyobana pua utasema yeye ni Jaap Stam, au nemanja vidic...Mwambieni kuna jela na gesti, so ajifunze kukaza mtoto wa kiume sio anatambia mafanikio ya wanaumeView attachment 1622307
ukiachana na matokeo ya msimu uliopita yaliopelekea kufukuzwa kwake, pochettino aliweza kuifanya spurs iwe ni timu ya ushindani kimatokeo ( consistent performance) kwa takribani miaka 5 isiyokuwa na bajeti kubwa ya usajili.
poche pia ana uzoefu mkubwa sana wa ligi kuu ya uingereza nakumbuka alianza kazi akiwa na southampton na alijenga timu nzuri sana pale, kivyovyote media za kiengereza hazitokuwa tayari kumpoteza mwanadamu mfano wake.
sijui ujio wake wa kati kati ya msimu utatufaidishaje(hilo ni swali linaloweza kujibiwa na wahusika wenyewe)
===================
hivi mechi yetu dhidi ya southampton iko mbali sana,
teh teh teh hiyo mechi itukute ole akiwa bado ni mwalimu wetu.
natamani kuiona comeback yake kuanzia tactics na matokeo dhidi ya mtaalamu asiyeimbwa Ralph Hasenhüttl.View attachment 1622196
sasa hivi ndio mlichobakiza hicho,kutukana watu matusi, maana mpira umewashinda.
Kilaza wa kufunga huyo we free header na bado unakosa hata kuugusa tu mpira....★No touch says the Premier League, but Marcus Rashford wasn't so sure...★
manutd |View attachment 1622601
Mashabiki wengi wa ligi ya England kuanzia England kwenyewe mpk Tanzania huwa wanavumilia ujinga sn na ndiyo maana hz tm huwa hazifiki mbali ucl, unakuta mchezaji mbovu na anabaatisha lkn mashabiki hawaachi kujipa moyo, kule Spain hakunaga ufala wa kuvumilia wachezaji wazembe wazembe na ndiyo maana utakuta kikosi kizima wachezaji wote wako perfect.Punguza mahaba kwa martial..
Anamaanisha kupunguza mahaba kwa Martial hana lolote huyo mchezaji mkuu.Mahaba ndiyo nini ?
Mkuu usitumie nguvu nyingi pliz, Martial is a trash.Martial hapaswi kutetewa,,,
now anasemwa na mashabiki wa man u wa dunia nzima,,
Tena kuna wengine wamekwenda mbali zaidi kuhoji kwann martial anaanza na cavani anaanzia benchi..
Martial ni mapenzi ya ole lakini hakuna shabiki wa man u anayemtetea sasa kuanza pale man u as striker no 9..
Hao ni mashabiki wa man u waki comment swali la mtoa post kati ya martial na cavani nani aanzie benchi..
90% yao wanahoji kwann cavani anapewa dk chache za kucheza?
Cavani must starts over martial.View attachment 1621843View attachment 1621846View attachment 1621848View attachment 1621850View attachment 1621852View attachment 1621854
Wachezaji wa kubahatisha hao leo kacheza vzr kesho anakuboa kuliko juzi na jana combined.Kaongea kama mtu mzima ,angekuwa Rashford pale lazima angelazimisha apige na uwezekano mkubwa angekosa kama kawaida yake
Vp Diego Simeone.Katika makocha wakubwa wote ambao wanafundisha Ole bado hajamfunga Klop na Zidane tu.
Huo ni mtazamo wako usilazimishe na wengine tuamini unachotaka wewe.Anamaanisha kupunguza mahaba kwa Martial hana lolote huyo mchezaji mkuu.
Bado hawajakutana.Vp Diego Simeone.
Mkuu usimuweke Auba kwenye level za Martial cz Auba amesha proof kwmb ni World class je huyo Martial ameproove kwa nani?Huo ni mtazamo wako usilazimishe na wengine tuamini unachotaka wewe.
Mimi naamini ni mchezaji mzuri.
Aubameyang mechi ya nane hii hajafunga goli kwenye open play naye ni mchezaji mbaya ?
Rashford na Martial baba mmoja mama mmoja tofauti Martial sio mchoyo kama RashfordWachezaji wa kubahatisha hao leo kacheza vzr kesho anakuboa kuliko juzi na jana combined.
Best finisher na record zipoMkuu usimuweke Auba kwenye level za Martial cz Auba amesha proof kwmb ni World class je huyo Martial ameproove kwa nani?
Ni wachezaji average wanaocheza tm kubwa huwa nashangaa sana kwakweli.Rashford na Martial baba mmoja mama mmoja tofauti Martial sio mchoyo kama Rashford