Bado 4 zifike 5Mnafungwa leo Period!!!
Nimesema kama mwezi huu Ole ajafukuzwa basi hii team ina tatizo la uongozi kabisaLindelof [emoji3], hata kuruka hawezi [emoji2379]
Nimesema kama mwezi huu Ole ajafukuzwa basi hii team ina tatizo la uongozi kabisa
Leo kuna hatrickOle huwa anashinda anapoona kibarua kinaota nyasi muda wowote [emoji3]
Leo kuna hatrick