Manchester United (Red Devils) | Special Thread

3rd goal. Cavan
1604760732131.gif
 
Sema wazee mi naona huyu Ole kufukuzwa haiwezekani maana kila tukipata sababu ya kumtimua na yeye anatafuta sababu ya kubaki.

Tufurahie tu pira la Ole Gunnar Solskjær, wazee! Au mnasemaje?
 
Team yake inategemea na walivyoamka siku iyo au team pinzani wanacheza vipi
Anazingua sana, kukosa consistency maana yake mwishi wa msimu timu itamailza nafasi za mid table, na 55% win, 25% draw na 20% loss... Ndio Man U anakoipeleka.

So SAD.
 
Sema Bruno fundi aisee kama vile anataka kupiga hat-trick kumbe anampa Cavani bhana!

Bruno leo hakuwa selfish. Angekuwa bishoo au Rashid wangetoa shot.

Kingine Rashford why anacheza 90 minutes.

Napenda Pogba awe anaingia midakika hiyo kama tupo on lead, jamaa ni mzito kufanya maamuzi ya haraka madoido kwanza.
 
🤣 🤣 🤣Nilijua lazima ungekuja tu mkuu kwa jinsi unavyomkubali dogo.
Kwanza mkuu usifikiri kama Martial ni favourite player wangu, nampenda kama ninavyompenda Rashford, Bruno etc.

Kitu fans wetu wengi wasichoelewa ni Role ya no 9 kwenye mfumo ambao ni fluid kama wetu, Tuna rekodi mbaya sana tukicheza bila martial, Huyu Dogo anakuwa kama Gundi kuunganisha ile Attacking yetu hata Asipofunga na Ku assist.

Na hata Kama Martial anakuwa replaced basi anatakiwa forward kama yeye, ndio maana tulikuwa linked sana na Raul wa wolves.
 
Link up play inakuwa nzuri with Martial kuliko striker mwingine yoyote.

Ndiyo maana timu inakuwa consistent going forward na tutakuwa lethal kwenye final third.
 
Hapo wote nimewaelewa. Huyu dogo asipokuwepo kule mbele huwaa panakuwa hovyo sana, mipira haikai.
 
Back
Top Bottom