The Humble Dreamer
JF-Expert Member
- Oct 12, 2015
- 8,011
- 11,429
Man Utd haven’t won at Old Trafford in the Premier League since we beat Bournemouth 5-2 at the start of the July 😳 That feels bloody ages ago!
Amezungumzia kipindi cha kwanza, partey ilikuwa ni kipindi cha pili.![]()
Bado hujaamka? Lile alilopiga Thomas ni nini?
Mpaka Manchester★
Greenwood alinizungushia Gabriel, hakuamini![]()
???★
Badilisha matokeo sasa!!
Ubaya wa UCL, mechi moja unafungashwa virago.
Uzuri wa EPL, ukifungwa moja nyingine unajipanga.
Kwahiyo sitegemei UCL tutafika popote pale. Ukifika nusu ukatolewa unakuwa sawa na alietolewa round ya makundi.
Huyu mshenzi ana majibu ya shombo sana kwa wakosoaji wake![]()
Kabisa
Hivi huyu Grant huwa anafanya kazi gani ?