mtoto mshamba kweli huyuApology acceptedView attachment 1618120
Badilisha matokeo sasa!!
Nadhani NEC wamechangia Man Utd kufungwaHii timu kushinda inategemea siku hiyo wachezaji wameamkaje
.
Zama zimebadilika mkuuKati ya mechi zote EPL, mechi ya arsenal sio ya kufungwa. Hata mimi nikafundishe United ila sio Arsenal. Ole amezingua pakubwa jana.
Hata ukipita comments za wachambuzi na mashabiki wanashusha lawama zote kwa kocha.
"what goes around comes around" na nyie pia mlishakua na matukio ya kuwapendelea na kuonea timu pinzani
arsenal ndio walimaliza bila shot on target mkuu, sisi tulikuwa na moja la Greenwood. timu zote zilikuwa ovyo.Game plan ilikuwa mbovu kupita kiasi.
Half time tunacheza bila kupiga hata shot on target.
Dakika 90 timu haijapiga hata cross yoyote ya maana.
Pogba kamuweka wing ya kushoto kawa kama urembo tu hakuna chochote kilichofanyika.