Lawrichie
JF-Expert Member
- Aug 27, 2013
- 879
- 2,451
Hahahaahaaa huyu Mason Greenwood wa kwa mtogole nini?I'm delighted to be here, opening another chapter with you great people.
Hahahaahaaa huyu Mason Greenwood wa kwa mtogole nini?I'm delighted to be here, opening another chapter with you great people.
Tell us the taste of that papu*** that couse you to be kicked out of the England squad in IcelandI'm delighted to be here, opening another chapter with you great people.
Huyu Ni Mason wa buza mkuu !!!Tell us the taste of that papu*** that couse you to be kicked out of the England squad in Iceland
Namba sita man u ndo huyo tominay kaanza ujinga nae msimu huuMkuu pale kati juzi matic kapuga mwingi kama askofu mshindi mteule wa jimbo la
kawe ndugu Rashid J. Gwajima (MB).
Kapiga pasi 120,000 huku mdee akitoa boko
Najua mkuu huyo ni parody..nilikuwa namzingua tuHuyu Ni Mason wa buza mkuu !!!
Overall ni kweli Sancho amekamilika Hasa upande wa creativity, sema Kwangu Rashford ni Bora zaidi na Sababu kubwa ni Kiwango chake Against Big teams.Hapana ninafikiri Sancho kwasababu yule ni specialist #7.Ila Rashford sio specialist left wing or #9 ila ni mfungaji mfungaji tu.
Nampenda Rashford kwakua anaichezea UTD lakini hawalingani na SANCHO MWAMBA.
Thamani ya mchezaji ni availability na Demand.
#7 ni demand kubwa sana kwa soko la football na wapo wachache sana.
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
So your price tag for him is?Overall ni kweli Sancho amekamilika Hasa upande wa creativity, sema Kwangu Rashford ni Bora zaidi na Sababu kubwa ni Kiwango chake Against Big teams.
Zile mechi Ngumu ambazo zina pressure huyu jamaa ndio kwake zinakuwa nyepesi.
Hivi kati ya Sancho na Rashford utachagua yupi kwenye kikosi chako ?Hapana ninafikiri Sancho kwasababu yule ni specialist #7.Ila Rashford sio specialist left wing or #9 ila ni mfungaji mfungaji tu.
Nampenda Rashford kwakua anaichezea UTD lakini hawalingani na SANCHO MWAMBA.
Thamani ya mchezaji ni availability na Demand.
#7 ni demand kubwa sana kwa soko la football na wapo wachache sana.
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Likitokea dili la exchange ya sancho na rashford kwa kikosi cha utd nitakubali.Hivi kati ya Sancho na Rashford utachagua yupi kwenye kikosi chako ?
Sancho over Rashford ?Likitokea dili la exchange ya sancho na rashford kwa kikosi cha utd nitakubali.
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app

Anaziweza big team kwakua hazipaki basi kama small team.Overall ni kweli Sancho amekamilika Hasa upande wa creativity, sema Kwangu Rashford ni Bora zaidi na Sababu kubwa ni Kiwango chake Against Big teams.
Zile mechi Ngumu ambazo zina pressure huyu jamaa ndio kwake zinakuwa nyepesi.
Namba sita man u ndo huyo tominay kaanza ujinga nae msimu huu
Hivi juzi tumetumia mbinu gani ya kiufundi kumshinda Leipzig
Mwenye maelezo mwanana anisaidie tafadhali.
Yani unyooshwe sita tuseme Spurs alibebwa?? Acha ushabiki maandazi..kubali ulikakilshwa na ukakaa..Spurs zile goli 6 refa aliwabeba sana yaaan
Yani unyooshwe sita tuseme Spurs alibebwa?? Acha ushabiki maandazi..kubali ulikakilshwa na ukakaa..
Umesema vizuri sana ..hicho kitatua London kwa mara nyingine tena.Hicho kidude lazima kiende England awamu hii.
Umekunjwa bao sita ..unasema Spurs kabebwa!! Musingepewa redcard, ingepunguza idadi ya magoli au!!Soma upya uelewe we jamaa usikurupuke
Umekunjwa bao sita ..unasema Spurs kabebwa!! Musingepewa redcard, ingepunguza idadi ya magoli au!!
😂😂mkuu anaupiga kama mbowe sio...Kweli kabisa, ana vinasaba vya chadema yule. Wacha tufanye mpango tumchukue mathew flamini, kisheti sana yule, anapiga kama De bruyne
Ha ha ha haMkuu ondoka chadema, njoo Chama cha manchester CCM