Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

.
FB_IMG_16039187622072300.jpg
 
Hivi juzi tumetumia mbinu gani ya kiufundi kumshinda Leipzig
Mwenye maelezo mwanana anisaidie tafadhali.
 
Hivi juzi tumetumia mbinu gani ya kiufundi kumshinda Leipzig
Mwenye maelezo mwanana anisaidie tafadhali.
Alichokosea kikubwa Liepzig ni kukabia juu kwenye highline alitupa nafasi ya kufanya counter attack very easily.

Kingine ule ukabaji wao wanapokuwa hawana mpira wa kupress watatu watatu walikuwa wanatupa mwanya wa kuhamisha mpira kwenda kwenye safe zone na kufanya transition kwa haraka maana Liepzig wanacheza kama watoto wa darasa la kwanza wanaeda kumkaba mtu mmoja timu nzima.

Liepzig walijiamini kupita kiasi wakaamua kupishana na sisi kama wanacheza na vibonde wenzao kule Bundesliga kwanini tusiwaadhibu.

Individual quality ya mchezaji mmoja mmoja hasa kwenye midfield kati ya united na Liepzig ni tofauti sana.
 
Binafsi nachukulia kuwa tulikuwa na siku nzuri hasa kwenye attack line yetu na wao walikuwa na siku mbaya tangu mwanzo.
Na kingine ni kwamba leipzig walituchukulia hatuko kwenye form hivyo hawakuweka uzito sana kwenye ulinzi.
 
What a performance last night. No doubt Rashford will take all the headlines, and rightly so, but I feel Solskjær deserves a special mention, no only for last night’s win, but for the win in Paris.

He tactically outclassed two of the most tactical managers in football at the moment. But some people genuinely think Ole has no tactics. Last night he set up with a 4-1-2-1-2 (diamond). We completely controlled the game all over the pitch. After going 1-0 up from Mason Greenwood we were defensively sound, a couple of great saves from De Gea took us into half time leading. Within the first 10 minutes of the second half Ole decided to make subs, which undoubtedly won us the game. After closing out Leipzig for 55/60 minutes and not giving them a sniff Solskjær changed the tempo of the game, knowing Leipzig had to commit players forwards and take risks, he cleverly brought Rashford on for the pace on the counter, and Bruno who could easily ping a 30/40 yard pass, which resulted in us winning 5-0.

He tactically schooled Tuchel in Pairs, and did the same to one of the most intelligent young managers in world football last night. Ole critics will say ‘individual performances’ but individual performances didn’t play the diamond, pick the team and set up in a way that completely shut Leipzig out. My PE teacher 💪🤷‍♂️

Follow @united.chat
 
Bado mapema, nadhani Bayern ndio tishio lililobakia, Spain au Italy hakuna timu ya kuchukua hili kombe kwa sasa.
Tournaments sometime huwa inaambatana na bahati.

Timu inaweza kuwa vibaya kwenye hatua ya makundi ikapenya kwa bahati hata ya mechi moja tu halafu knockout stage ikawa form ikachukua kombe.

Mfano chelsea ya 2011, na Bayern ya msimu uliopita.

Sent from my SM-A105F using JamiiForums mobile app
 
Ni sawa ila ile Chelsea haikuwa mbovu kivile. Kwa msimu uliopita club nyingi za Ulaya zilikuwa zinapitia changamoto nyingi. Club zilizokuwa na uafadhali kidogo ilikuwa ni hiyo Bayern, Juve na PSG.
 
Nyekundu ndio ilituua.
Bila nyekundu, tulikua tunashinda game ile.
Shortage ya mchezaji mmoja afu unafungwa goli tano bado ni udhaifu. Kuna timu zikiwa pungufu ndio zinakamua vizuri zaidi, nyingine husawazisha hata na kushinda. Hivyo kuliko kuamini kuwa ungeshinda ni vizuri kujiuliza ni wapi timu ilikwama kwa kiasi kikubwa hivyo.
 
Back
Top Bottom