Phd young junior
Senior Member
- Dec 24, 2016
- 119
- 87
Kama simba ikiwa pungufu dhidi ya yangaShortage ya mchezaji mmoja afu unafungwa goli tano bado ni udhaifu. Kuna timu zikiwa pungufu ndio zinakamua vizuri zaidi, nyingine husawazisha hata na kushinda. Hivyo kuliko kuamini kuwa ungeshinda ni vizuri kujiuliza ni wapi timu ilikwama kwa kiasi kikubwa hivyo.