The best 007
JF-Expert Member
- Oct 6, 2019
- 42,480
- 98,527
Mara kdg ni yeye kweli utafanyaje mkuu.Hahahaahaaa huyu Mason Greenwood wa kwa mtogole nini?
Mara kdg ni yeye kweli utafanyaje mkuu.Hahahaahaaa huyu Mason Greenwood wa kwa mtogole nini?
Ur welcome Mason.I'm delighted to be here, opening another chapter with you great people.
😂😂😂😂😂Kesho arsenal anakunyoa tena.
Kesho arsenal anakunyoa tena.
Underdog kwa nani ?Leipzig ni kama Everton tu au AstonVilla..hivyo msione mumefunga timu kubwa sana. Nyie bado ni underdog
Leo Arsenal tuna jambo letu mapemaaaa..Kwa nini uteseke sasa?
Kwa Arse8 😎😎Underdog kwa nani ?
Kwa Arse8![]()
Leo Arsenal tuna jambo letu mapemaaaa..
Arteta ajashinda mechi kadhaa za ligi hivyo leo kapania kufanya weekend iwe mbaya kwenu.
Hakuna tatizo, ila akifungwa kutakuwa na tatizoKuna tatizo akishinda?
Hakuna tatizo, ila akifungwa kutakuwa na tatizo
Arse8 akifungwa leo kutakuwa na tatizo. Hivyo kuepuka matatizo ni lazima ashinde. Na mipango ya kushinda ipo..Nani akifungwa sasa kutakuwa na tatizo
Utakua umekunywa Matapu tapu sio bure.Umesema vizuri sana ..hicho kitatua London kwa mara nyingine tena.
Martial hachezi..ana red card(3 match ban)Leo kama kawaida yetu, mtu anakufa nyingi kama kasimama.
Kikosi naomba kiwe hivi.
Degea
A.w. Saka Lindelof Maguire show
Fred Tomney Fernandez
Matial Rashfod Pogba.
Hicho kikosi Arse8 labda apite juu.
Kweli ana red...Martial hachezi..ana red card(3 match ban)
Leo tuko na Auba na Komred Kipepe ..goli mbili za uwakika kabisa.Utakua umekunywa Matapu tapu sio bure.