Ole kamfundisha tactics Julian
ni kweli ni timu daraja la tatuLeipzig sio timu kubwa.
Ipo kwenye levels za kina Everton.
nasikia RBL wametufunga tano sifuri ama kweli sisi timu bwegeAngalia tumemla mtu nne huko
Bado tuko pamoja na RBL
Kila la kheri RBL, OT ni shamba la bibi
#CFC
Siasa kuna jukwaa lake rasmi mkuu, uku ni mpira tumkuu hakuna tofauti kati ya leipzig na chadema.
Kama kuna mtu ya man u yupo chadema aondoke man u, man u is for winners.
Fred kawa mchezaji muhimu sana kwetu, jamaa mapafu ya mbwaGoal 1: Fred wins ball for Pogba assist
Goal 2: Fred pass to Bruno for assist
Goal 3: Fred wins ball for Rashford goal
Goal 4: Fred pass to Martial who wins pen
Goal 5: Fred didn’t help at all...
Inconsistent from him if you ask me. #MUFC
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hapo pogba anawekwa bench na bwana mdgo
Na msimu huu Tottenham kambanjua Man Utd 6-1, sasa piga hesabu lako hapo.Na Totenham mwaka jana alikula ndani na nje kwa Leipizg ambayo inatokea ligi laini, tena Totenham ikiwa ilifika top 4 ya ligi ngumu.
Uwe unaelewa basi wewe kichwa ngumu.mkuu hakuna tofauti kati ya leipzig na chadema.
Kama kuna mtu ya man u yupo chadema aondoke man u, man u is for winners.
Hata tottenham alifika hizo levels.Duh, mwaka Jana lakini ilifika semi final UCL. Everton hata kuingia makundi tu ya UCL sijui Mara ya mwisho ilikuwa lini.
Hata tottenham alifika hizo levels.
Na hiyo sio sababu pekee ya kuifanya iwe timu kubwa.
Na Leicester City nao walichukua EPL.
Hizo sio timu kubwa.
1. Fc Bayern Munich
2. Borusia Dortumund
3. Fc Schakle 04
4. Werder bremen.
Hizo ndo timu kubwa Germany.
Hata Liverpool ilikuwa kubwa zamani.Schakle 04 na werder bremen zilikuwa kubwa zamani siku hz ni za kawaida mnoooooo
Msichokijua ni kwamba tumeshagain match fitness.Ari imeanza kuja kwenye timu yetu ,,,,
Good enough tuna depth ya kutosha,,,, !!!
Ole ashindwe yeye tu , this season walau kikombe chochote,,, !!!
#GGM
Timu za ujerumani ukiondoa Bayern zingine huwa zinafluke msimu mmoja au miwili zinapoteaHata tottenham alifika hizo levels.
Na hiyo sio sababu pekee ya kuifanya iwe timu kubwa.
Na Leicester City nao walichukua EPL.
Hizo sio timu kubwa.
1. Fc Bayern Munich
2. Borusia Dortumund
3. Fc Schakle 04
4. Werder bremen.
Hizo ndo timu kubwa Germany.
Mpaka tukikutana nao tena Tushafuzu,Hii ndo ile Leipzig aliyotoka Werner? Basi mnayo kazi kubwa sana ..ngoja muende Deutsch next round. Mtakufa pale ..
Kuhusu PSG kuna ushind wa mezani(penati😎)
Total 14-0Liverpool: 2-0 win
Man City: 3-0 win
Chelsea: 4-0 win
Man Utd: 5-0 win
Msimamo wa ligi unaweza kuisha hivi. Au Chelsea akawa wa kwanza hapo.Liverpool: 2-0 win
Man City: 3-0 win
Chelsea: 4-0 win
Man Utd: 5-0 win
Uwe unaelewa basi wewe kichwa ngumu.
Siasa kuna jukwaa lake rasmi mkuu, uku ni mpira tu