Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

UCL returns to Old Trafford

Tuna kikosi kipana kwa sasa Ole asistick na watu walewale tu..awe pia anabadilisha approach tupate mchango wa wachezaji wengine..Mfano Fernandes anaweza kupumzishwa gemu ya leo In my Opinion(IMO) na akaanza mtu mwingine kwenye hiyo nafasi..Same applies to Rashford

My First XI vs RB Leipzig

DDG

Axel Maguire Lindelof Telles

Fred Matic Pogba

VdB

Cavani Martial

SUBS:Henderson,Shaw,AWB,Rashford,Mata,Fernandes,McTominay

Hatuko vibaya kwenye kikosi on paper guys,tuna timu nzuri..Kocha alete magic zake tu
 
Mkuu Ziyech alikua majeruhi,na Torres atamuweka nani bench?halaf hao chelsea hawapo vizuri ki iile,kinachouma kaa ole ni kwamba tuna resource za kutosha, ni kama vile tunafa ya makusudi kufungwa
Ferran Torres hajaanza hata mechi moja.

Hakim Ziyech hahaanza hata mechi moja

Why kwa Donny iibue kelele?
 
Mkuu Ziyech alikua majeruhi,na Torres atamuweka nani bench?halaf hao chelsea hawapo vizuri ki iile,kinachouma kaa ole ni kwamba tuna resource za kutosha, ni kama vile tunafa ya makusudi kufungwa
Na Donny atamuweka nani benchi kati ya Poga na Bruno ?
 
Inshu ni rotation,na hata sub bas apewe sub ya uhakika sio dakika 3,na hii ndo itamuongezea kujiamini,
Mbona mechi karibu zote kaingia sub except game ya chelsea tu.

Tusimtie pressure mwalimu na mchezaji mwenyewe mpaka wakafikia kufanya maamuzi mabaya.

Tuko kwenye mashindano mengi sana na kila mechi Donny anapewa nafasi
 
Ww unataka ulete masihala na champions league, mkuu hicho kikos kikianza tunapgwa za uso
UCL returns to Old Trafford

Tuna kikosi kipana kwa sasa Ole asistick na watu walewale tu..awe pia anabadilisha approach tupate mchango wa wachezaji wengine..Mfano Fernandes anaweza kupumzishwa gemu ya leo In my Opinion(IMO) na akaanza mtu mwingine kwenye hiyo nafasi..Same applies to Rashford

My First XI vs RB Leipzig

DDG

Axel Maguire Lindelof Telles

Fred Matic Pogba

VdB

Cavani Martial

SUBS:Henderson,Shaw,AWB,Rashford,Mata,Fernandes,McTominay

Hatuko vibaya kwenye kikosi on paper guys,tuna timu nzuri..Kocha alete magic zake tu
 
★Eric Cantona 1996

#TB

manutd |
IMG_20201028_001347_640.jpeg
 
★Sun | Manchester United could have signed Dayot Upamecano five years ago, but offered (500K) under his valuation (700K).★

manutd |
IMG_20201028_001324_094.jpeg
 
Back
Top Bottom