Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mnakuwa wakwanza lakini 16 bora hamvuki ..asa ndo nini broπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ bora mpambane muende hata Europa
 
Ukishaanza kuleta ubinadamu ujue kazi inakushinda.

Anayefanya kazi kwenye nuclear power akileta story za ubinadamu ujue yatatokea ya Chernobyl.
 
Angalia tumemla mtu nne huko

Bado tuko pamoja na RBL

Kila la kheri RBL, OT ni shamba la bibi
#CFC [emoji170][emoji170]

Wale matege wa urusi? [emoji23][emoji23][emoji23] sisi tumepiga mtu aliefika fainali na nusu fainali jiangalie mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…