Al Watani
JF-Expert Member
- Dec 28, 2014
- 21,697
- 32,447
Mechi yetu na chelsea tulicheza vizuri.
Kosa la timu zote zilicheza kwa tahadhari kubwa kupita kiasi mpaka tukapata goalless draw.
Watu wanamlalamikia Daniel James kwangu mimi naona aliyetuangusha ni Juan Mata badala ya kukaa upande wa kulia alirudi katikati hivyo kapunguza threat kwa chelsea upande wa kulia.
Kukosekana kwa mtu upande wa kulia kuwafanya chelsea wajae kushoto na kuziba passing lanes zote.
Ulikuwa ukiangalia wachezaji wetu na wa chelsea ni kama wote walikuwa wamejaa upande wa kushoto huku kulia Zouma na Chilwell walikuwa kama walipumzika hawakuwa na cha kufanya zaidi ya kutumika kama absorber ya mashambulizi yetu tu.
Badala ya Mata Solkjaer angeanza na Greenwood Mapema au Cavani ili Rashford acheze kulia na Daniel James aendelee kuwa huko left.
Kuna watu wanalalamika why Solkjaer alimuanzisha Daniel James over Donny Van De beek, kwanza Donny siyo winger na hana pace hivyo kumchezesha kule kwa Reece na Cezar ingekuwa disaster kwetu.
Pili James mara nyingi huwa anakuwa invisible kwenye defensive role anatrack back vizuri sana lakini anaongeza threat nyingine kwenye kushambulia kwa counter attack.

★