Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

The FA has urged Premier League clubs to accept its new system that will block "lower quality foreign players" from joining in the January transfer window.

PTER , Tanayzer , Chief-Mkwawa , Mc cane n.k
hii isijekuwa inalenga kuwapigia chapuo wachezaji wa kiingereza kupata team kwa urahisi....maana ni wachezaji wachache wa nje huwa wanaquality ndogo
 
★Solskjær: "He [Pogba] has been out for a while with the coronavirus this summer. He is getting better and better, and more and more in shape. Maybe I was unfair on him by starting him that early in the first few games."★.

manutd |
IMG_20201023_140535_193~2.jpeg
 
Nimekaa nimetafakari kwa haya matokeo ya karibuni toka ligi ianze nimeanza kuamini kweli mchezaji wa 12(mashabiki) wana umuhimu Sana uwanjani katika kubadili matokeo na performance ya timu kiujumla
 
★Afu kuna watu wanatetea ety ulitaka wacheze wote uwanjani kwani hao wanao anza kabla ya VDB hawawezi acha aanze VDB hata kwa mechi moja moja wakapeana Shift afu wataingia kwa baadae ujue vitu vingine Ole anafanya kama hana akili timamu unanunua Mtu afu unamkalisha nje kweli ananikera sana huyu jamaa★
Unamleta mchezaji khalafu hachezi...sasa ulimleta ili akae benchi?View attachment 1613092

Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
 
★Afu kuna watu wanatete ety ulitaka wacheze wote uwanjani kwani hao wanao anza kabla ya VDB hawawezi acha aanze VDB hata kwa mechi moja moja wakapeana Shift afu wataingia kwa baadae ujue vitu vingine Ole anafanya kama hana akili timamu unanunua Mtu afu unamkalisha nje kweli ananikera sana huyu jamaa★
Ni aibu kubwa Daniel James kumuweka bench VDB.
 
★Mimi kwa uelewa wangu tu mala nyingi mtu ananunuliwa ili kuziba Pengo flani na sio kuja kuwa Backup kwa kila mechi.
afu mnachukuaje mchezaji kwa bei kubwa kiasi hicho kwa ajiri ya backup si uharibifu wa pesa pia unachukuaje mchezaji wa kiwango kisicho lingana na timu husika kuwa backup Evra akiongea ooh anajikuta kuwa na maumivu na team kuliko wazawa ujue kuna vitu vinakera unashindwa kuvumilia ila basi tu★
Ni aibu kubwa Daniel James kumuweka bench VDB.
 
Ukilalamikia kwanini VDB hachezi una matatizo kidogo...
Ligi imechezwa mechi ngapi?
Ana uzoefu na ligi kiasi gani?(Inatakiwa azoee taratibu)
Alisajiliwa wa kazi gani? ( Uliwahi jiuliza akiumia Bruno nani atacheza?)

Tuache kuwa watu wa lawama jamani
 
Ni aibu kubwa Daniel James kumuweka bench VDB.
Na akirudia hili kosa mechi nyingine tukashindwa kuchukua point inabidi afukuzwe na hata sitomuonea huruma..There is no room for multiple errors week after week

VdB has to get some minutes aisee..confidence yake itashuka sana kama hali itaendelea hivi huku James akiendelea kutamba tu
 
★Mimi kwa uelewa wangu tu mala nyingi mtu ananunuliwa ili kuziba Pengo flani na sio kuja kuwa Backup kwa kila mechi.
afu mnachukuaje mchezaji kwa bei kubwa kiasi hicho kwa ajiri ya backup si uharibifu wa pesa pia unachukuaje mchezaji wa kiwango kisicho lingana na timu husika kuwa backup Evra akiongea ooh anajikuta kuwa na maumivu na team kuliko wazawa ujue kuna vitu vinakera unashindwa kuvumilia ila basi tu★
Ulitaka back up iwe ni ya kiwango duni?
Hivi tulipokuwa tunalia na squad depth tulikuwa tu namaanisha nn?
 
★Mimi kwa uelewa wangu tu mala nyingi mtu ananunuliwa ili kuziba Pengo flani na sio kuja kuwa Backup kwa kila mechi.
afu mnachukuaje mchezaji kwa bei kubwa kiasi hicho kwa ajiri ya backup si uharibifu wa pesa pia unachukuaje mchezaji wa kiwango kisicho lingana na timu husika kuwa backup Evra akiongea ooh anajikuta kuwa na maumivu na team kuliko wazawa ujue kuna vitu vinakera unashindwa kuvumilia ila basi tu★
Sema Evra naye anaongea sana..
 
★Ko anazoea ligi bila kucheza mkuu unataka kuniambia??? Hivi utakizoea kitu bila kukifanya mtu kama mnamwamini muwekeni mkiona anazingua mnamuweka sub sio kwkba huchezi afu useme utazoea tu★

Back
Top Bottom