Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,060
- 43,477
si kila mchezaji ni Ronaldo na Messi kwamba akikabwa upande mmoja anahama, hivi leo Bissaka apate mbabe wake atahamia kushoto? hata wachezaji wetu wengi wa ushambuliaji hawana uwezo wa kucheza Kushoto na Kulia, labda kushoto na Kati, Including Martial, Rashford na wengineo.Soka la kizamani sn hili unaloongelea mkuu yn mchezaji ashindwe kutamba kisa kajaziwa watu upande wake si anahama upande tu cz mchezaji km anaweza basi anaweza tu ukimbana huku anahamia kule na bado anaweza kuleta madhara, ss mchezaji anayetegemea upande mmoja tu wa nn huyo?
na pia Mechi kubwa kama hizi Discipline ni muhimu sana, majukumu uliopewa unatakiwa kuyatimiza 101%, unaweza hama nafasi dk 1 tu na hapo hapo ikawa ndio mistake ya kupoteza point 3.
★
★


