Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

★Ko anazoea ligi bila kucheza mkuu unataka kuniambia??? Hivi utakizoea kitu bila kukifanya mtu kama mnamwamini muwekeni mkiona anazingua mnamuweka sub sio kwkba huchezi afu useme utazoea tu★
Hizo minutes 61 zimetoka wapi?
Ligi inazoewa taratibu sheikh sio kila mtu ata adopt mapema.
 
Nisikilize nikwambie, vdb anatakiwa acheze cz ni classic player yn kocha anatakiwa afanye vyovyote awezavyo yule mtu acheze usiniambie hbr za winga.
Ongea kama mtu wa mpira basi, Usijishushie heshima yako.....
Yaani acheze tu hata nafasi asizoweza?
Hata yeye akikuskia atakushangaa
 
Nisikilize nikwambie, vdb anatakiwa acheze cz ni classic player yn kocha anatakiwa afanye vyovyote awezavyo yule mtu acheze usiniambie hbr za winga.
Halafu hizi habari za winger nimekuja kuona at some point ni bullshit..tunaweza kucheza bila hata ya typical winger na kukichafua vilevile..

Uptop unawaweka Rashford na Cavani ..kazi inakuwa ni kutoa mipira tu kwenye net

Maana hata Greenwood sio typical winger mbona anacheza kutokea right flank?
 
★Ila kuna vingine vina mantiki hata waropokaji Darasani kuna muda wanaropoka vitu vinawazindua akili ila kweli hapa Mwalimu anaonea same Evra alichosema kama mtu anakaa benchi ko haikuwepo umaana wa kumchukua sijui tupate Squad depth ko kuna watu wapo wanatosha★
Sema Evra naye anaongea sana..
 
★Ila kuna vingine vina mantiki hata waropokaji Darasani kuna muda wanaropoka vitu vinawazindua akili ila kweli hapa Mwalimu anaonea same Evra alichosema kama mtu anakaa benchi ko haikuwepo umaana wa kumchukua sijui tupate Squad depth ko kuna watu wapo wanatosha★
Mimi sio kwamba nataka VdB awe anaanza kila mechi,no..ila ikitokea akawa benchi mechi kubwa huku James/Lingard wanakatika viuno uwanjani sitoelewa
 
Alafu hizi habari za winger nimekuja kuona at some point ni bullshit..tunaweza kucheza bila hata ya typical winger na kukichafua vilevile..

Uptop unawaweka Rashford na Cavani ..kazi inakuwa ni kutoa mipira tu kwenye net

Maana hata Greenwood sio typical winger mbona anacheza kutokea right flank?
Nawaona sn ole fans wakitumia haka kamsemo ka winga wanajisahaulisha km man u haitumii winga nowadays.
 
Ongea kama mtu wa mpira basi, Usijishushie heshima yako.....
Yaani acheze tu hata nafasi asizoweza?
Hata yeye akikuskia atakushangaa
Lini vdb kashindwa kucheza no.11? Mbn huwa mnasema Greenwood is not a natural winga na akicheza winga anapafom vzr tu!!?? Wacheni mambo yenu bhn, tukubali kwamba Ole anazingua na ndiye aliyetunyima ushindi juzi over.
 
★Hata mimi nimesema huko juu kama inawezekqna japo najua inawezekana Wapewe shift mechi hii huyu mechi inayofuata VDB mchezo umeisha mbona jambo dogo sana halihitaji akili ya Darasani lkn★
Mimi sio kwamba nataka VdB awe anaanza kila mechi,no..ila ikitokea akawa benchi mechi kubwa huku James/Lingard wanakatika viuno uwanjani sitoelewa
 
Kocha analeta mazoea af legends kina Scholes hawaongei muache Evra atusemee, af msimchukulie Evra poa kisa mweusi, ni legend yule na kacheza utd kwa mafanikio makubwa na ana uchungu na ile tm kuliko ww na mm.
Hakuna aliesema tunamchukulia poa evra kisa mweusi, na wewe km ungekuwa Ni mtetezi wa ngozi nyeusi na sio unafiki ungeanza na kuhoji kwa nn kasajiliwa cavan wakati tuna mweusi mwenzako ighalo yupo.....

Ni mapema mno kuanza kukosoa kukaa bench kwa vdb, league ndo inaanza kugain momentum
 
Back
Top Bottom