Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 32,062
- 43,478
Unamaanisha Mata? Mata hana pace ndio, ila una option gani nyengine? Hapo ndio depth ilipoishia.
Unamaanisha Mata? Mata hana pace ndio, ila una option gani nyengine? Hapo ndio depth ilipoishia.
Yes nimecheki fresh simuoni bench !! Nini shida au alipata injury kwenye mazoezi au illness ! Kwenye press sidhan Kama ole alisema atakosekana !!!Telles hata Bench hayupo.
Kila mtu anashangaa kama unavyoshangaa wewe mkuu, baadae pengine tutapata jibu, kama anawasubiria leipzig ama ni injury, ila bench hatuna wa ku cover kushoto.Yes nimecheki fresh simuoni bench !! Nini shida au alipata injury kwenye mazoezi au illness ! Kwenye press sidhan Kama ole alisema atakosekana !!!
Ana penati mojaIts a match day
Leo OGS kasema Cavani ataanza
Pale katikati sielewi atapangaje kikosi bcoz game mbili za mwisho wameanza Fred + Scot, Pogba akitokea bench
I hope Bruno atapata goli leo
GGMU
Matakataka tunawalala leo..
Bao tatu za nguvu.
Hadi sasa tunaongoza moja.
#CFC 💙💙💙
Yaani huyu kocha dah. Sometimes dah. Chelsea unaanza. Kati ya James na Mata mmoja hakupaswa kuanza. Nafasi ya James angecheza Telles sababu mid jamaa wana 5 men. Dimba Fred na Tominay watazidiwaTukifungwa leo kocha haepuki lawama.
Mpira ushakwisha huu, tunaenda kukamilisha ratiba.Naona umepata nguvu baada ya kuona line up