kidunula1
JF-Expert Member
- Apr 2, 2016
- 6,305
- 6,350
Safi kabisa!Axel Tianzebe hajacheza tangu December 2019, ila alianza match dhidi ya PSG na kuwa face Neymar, Mbappe na Di Maria. He did His job great. Toa sababu nyingine.
Safi kabisa!Axel Tianzebe hajacheza tangu December 2019, ila alianza match dhidi ya PSG na kuwa face Neymar, Mbappe na Di Maria. He did His job great. Toa sababu nyingine.
"Alete sabubu nyingine"Axel Tianzebe hajacheza tangu December 2019, ila alianza match dhidi ya PSG na kuwa face Neymar, Mbappe na Di Maria. He did His job great. Toa sababu nyingine.
labda kama kuna sababu nyinyine, ila hii ni sababu dhaifu sanaMan huyo ni injury prone na naona ndo sababu ya PSG kuwa sajili kina icardi ....imagine MTU hajacheza mashindano yoyote since January unaona ataweza kuwa the same kweli?
★
Marcos Rojo???
Axel Tianzebe hajacheza tangu December 2019, ila alianza match dhidi ya PSG na kuwa face Neymar, Mbappe na Di Maria. He did His
Haahaaa At least Axel tuanzebe alikuwa anafanya mazoezi na timu ila huyu cavani hakucheza tena na wala hakufanya mazoezi na PSG kama unakumbuka ligi yao iliwahi kuhairishwa mapema kwasababu ya corona...na yy wkt huo alikuwa na pancha!Axel Tianzebe hajacheza tangu December 2019, ila alianza match dhidi ya PSG na kuwa face Neymar, Mbappe na Di Maria. He did His job great. Toa sababu nyingine.
Dah huyo James ana bahati sana,hana vigezo vya kuwa mchezaj wa timu kubwa kama man u..
Anyway,ngoja tuangalie gemu
Subiri uone moto wake, usimlinganishe na masho wako huyo..
Haya-haya!!! Ni mudaZe Blauzi.View attachment 1610727
Mfumo wa Ole against timu kubwa ni counter Attack sababu timu kubwa zinafunguka sana, james kwa timu zinazofunguka si mbaya japo decision making yake si nzuri.Acha tuone, ningetegemea namba yake acheze rashfod,then cavan aanze
Baadae nadhani James atatoka Rashford acheze hapo kushoto na Cavani aingie pale kati shimoni.Acha tuone, ningetegemea namba yake acheze rashfod,then cavan aanze
Kwa hiyo siku izi ana ana pace? Au leo hajaanza?Mfumo wa Ole against timu kubwa ni counter Attack sababu timu kubwa zinafunguka sana, james kwa timu zinazofunguka si mbaya japo decision making yake si nzuri.
Cavani/Matic/Pogba wote ni experience zaidi na Technique kubwa bila pace, wataingia baadae tukiwachosha kwanza.
Telles hata Bench hayupo.Kocha kazingua kwenye line up !
Unawadharau Chelsea ???
Angeanza na back three, alafu kuwe wings backs mbili awaweke AWB/Telles !!!!
Anazingua Sana !!! Mwenzie lamps kapanga kikosi poa ! Dizain kawadharau Chelsea , juz Telles kauwasha Sana , Tia Kross za uhakika unamuachaje bench ?
Mid Sina shida nayo !!!! Anyway ngoja tuone , !
Sijafurahishwa na hii squad kabisa !!!!
Cavan yupo bench sio mbaya pengine atapewa minutes sec half, mdogo mdogo atakuwa sawa na kuzoea mates wenzie !
#GGM !!!
NB,, tukishinda hii game , huu Moto tutakaouwasha game zijazo sio mchezo!